MKAY~TZ
MKAY~TZ
June 13, 2025 at 02:31 PM
πŸŒΊπ—™π—”π——π—›π—œπ—Ÿπ—” 𝗭𝗔 π—›π—œπ—π—π—”π—› 🌺 πŸ”ŠAmesema Nabii wa Allah (Muhammad) ο·Ί "Atakayehiji kwa ajili ya Allah akawa hajasema mambo ya kipuuzi na wala hakufanya mambo machafu, basi atarejea (nyumbani kwake akiwa hana dhambi) kama siku aliyomzaa mama yake." 🌹 Sahihi Bukhari 🌹 #mkaytz #islam-life #mkay updates
Image from MKAY~TZ: πŸŒΊπ—™π—”π——π—›π—œπ—Ÿπ—” 𝗭𝗔 π—›π—œπ—π—π—”π—› 🌺  πŸ”ŠAmesema Nabii wa Allah (Muham...

Comments