
MKAY~TZ
14 subscribers
About MKAY~TZ
Ukweli mtupu ๐ฃ๏ธ ๐ซ๐ ๐ฎ๐ ๐ผ https://whatsapp.com/channel/0029Vaxrqy72phHL54Ew3Z2u
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

MASIKU KUMI YA DHUL-HIJJAH.๐. โซ๏ธkufunga siku 9 za mwanzo wa Dhul-Hijjah - pamoja na Siku ya Arafat (siku ya 9) sio lazima lakini inapendekezwa sana (mustahabb) na ina malipo makubwa. kwa sababu hizi ni katika siku zinazo pendwa zaidi na Mwenyezi Mungu ๐Siku ya Arafa (9 Dhul-Hijjah) โ Kufunga ni sunnah muโakkadah (sunnah iliyosisitizwa sana) kwa wale wasiohiji. Mtume (Swalla Allaahu โalayhi wa aalihi wa sallam) amesema kufunga kwenye siku ya Arafa kunafuta madhambi ya mwaka uliopita na mwaka ujao. (Muslim) โซ๏ธIkiwa uko kwenye Hajj โ Hupaswi kufunga Arafa kwa sababu Mtume hakufunga akiwa amesimama Arafat. Kwa hivyo, wewe si mwenye dhambi usipofunga, lakini unakosa thawabu kubwa ikiwa unaweza kufunga - hasa siku ya Arafat. ๐ทSiku 10 za kwanza za Dhul Hijjah 2025 zinatarajiwa kuanza tarehe 28 Mei jumatano 2025, kufuatia kuonekana kwa mwezi. Tarehe 9 Dhul Hijjah (Siku ya Arafah) itakuwa tarehe 5 Juni 2025 na tarehe 10 Dhul Hijjah (Eid al Adha) itakuwa tarehe 6 Juni 2025. โ๏ธAllah atujaalie uzima tupate kufunga sunnah hii iliyo bora ๐คฒ โโโโโ โฅ.โ.โฅ โโโโโ #mkaytz #masiku 10ya Dhul hija#islam lifeโฆ๏ธ๐ท


๐บ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐บ ๐Amesema Nabii wa Allah (Muhammad) ๏ทบ "Atakayehiji kwa ajili ya Allah akawa hajasema mambo ya kipuuzi na wala hakufanya mambo machafu, basi atarejea (nyumbani kwake akiwa hana dhambi) kama siku aliyomzaa mama yake." ๐น Sahihi Bukhari ๐น #mkaytz #islam-life #mkay updates


๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐ช๐๐ญ๐ ๐ ๐จ๐๐ก๐๐๐ ๐ขโช๏ธ ,,๐LEO IJUMAA TAYARI TUMEINGIA NDANI YA MWEZI WA SHAABAN MOSI 1446H SAWA NA TAREHE 31/01/2025. BADO KAMA SIKU 29 AU 30 SASA TUINGIE NDANI YA MWEZI *MTUKUFU WA RAMADHAAN* , TUNAMUOMBA ALLAH ATUFIKISHE SALAM RAMADHANI. AAMIYN๐คฒโโโโโ โฅ.โ.โฅ โโโโโ #Mkay tz