𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
June 20, 2025 at 09:49 AM
Huwezi kupona kama hujaamua kukubali Ukweli, na kitendo Cha wewe kukubali Ukweli huo ndio mwanzo wa kupona kwako, ndio njia ya kuuanza mchakato wa kujiponya, huwezi kupona kama Bado unaendelea kujipa matumaini. Leo unaamua kuanza kumsahau mtu unajiwekea utaratibu wa Kuwa Unafuta namba kuwa hutomtafuta Tena Bado namba unaiandika pembeni ndo Unaifuta kwenye simu, alafu umejikaza baada ya wiki hivi unasikia kama moto unawaka ndani yako unatamani umetumia message hata hasipojibu unajipa matumaini umejiponya kwa kiasi, umekosea tayari unatakiwa kuanza upya, Sasa uwezi kupona kwa namna hiyo Ilo zoezi utalifanya hata miaka kumi ukitaka na Bado hautopona maumivu yako, Kumbuka hapa unaponya moyo maumivu yake hayasimuliki, ndo maana unaweza Kusema watu hawaelewi unavyojisikia, sio kwamba hawaelewi wanaelewa, uwezi kuukwepa mchakato huu wa maumivu Ili uhuponye moyo, unapoamua kufanya maamuzi Fanya husigeuke nyuma hiyo tanulu la moto linalowaka ndani yako unalilihisi wakati wa kujiponya ndo kupona kwenyewe husigeuke nyuma endelea mbele💪 Follow na share kwa wengine 👉 [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s) ♡ ㅤ     ⎙   ⌲      🔕 *ʳᵉᵃᶜᵗ    ˢᵃᵛᵉ     ˢʰᵃʳᵉ    ᵘⁿᵐᵘᵗᵉ ᶜʰᵃⁿⁿᵉˡ*
👍 💪 🙏 4

Comments