NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
June 12, 2025 at 06:32 PM
Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wetu – Bi. Ruth Zaipuna akiwa ameambatana na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Bw. Filbert Mponzi pamoja na viongozi wengine wa Benki, wameshiriki kushuhudia uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, Bungeni - Dodoma leo. Hotuba hii yenye mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2025/2026 imewasilishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Jukumu letu kama Benki ni kuendelea kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali katika kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi shirikishi na huduma jumuishi za kifedha kwa Watanzania. #nmbkaribuyako
Image from NMB Bank Plc: Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wetu – Bi...
❤️ 👍 ⚠️ 😂 🙏 10

Comments