
NMB Bank Plc
June 16, 2025 at 05:05 AM
Tunaadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kuwekeza katika ndoto zao!
Kupitia akaunti zetu za NMB Mtoto na NMB Chipukizi, tunatoa fursa kwa watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 18, kujifunza tabia ya kujiwekea akiba mapema kwa maisha ya baadaye yenye mafanikio.
Kwa pamoja, tuwape watoto wetu msingi imara wa kifedha kwa ajili ya kesho bora.
#sikuyamtotowaafrika
#usiachwe
❤️
👍
💪
😆
🙏
🤍
🤬
13