
NMB Bank Plc
June 16, 2025 at 11:45 AM
Mipaka ni nini ukiwa na NMB Mkononi?
Sasa unaweza kutuma pesa nje ya nchi kwenda Benki na mitandao ya simu kwa gharama nafuu ukiwa na NMB Mkononi APP.
Iwe ni familia au kukamilisha biashara, simu yako inamaliza kila kitu!
#nmbkaribuyako #tumekupata
👍
❤️
5