NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
June 18, 2025 at 11:58 AM
Kama mdau wa maendeleo nchini, tunaendelea kushirikiana na Serikali kukuza uwekezaji na kuujenga uchumi wa nchi yetu. Kutambua mchango wetu katika kufanikisha Kongamano la Uwekezaji Zanzibar, tumepokea cheti maalumu cha kutambua mchango wetu kilichotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Cheti hiki kimepokelewa kwa niaba ya Benki na Afisa Mkuu wetu wa Wateja Wakubwa na Serikali, Alfred Shao, aliyeambatana na Mkuu wa Kitengo cha Miamala, Bi. Linda Teggisa. Tutaendelea kuwa mshirika imara wa Serikali katika kuendeleza jitihada za kukuza uwekezaji, kuimarisha uchumi na kufungua fursa zaidi kwa Watanzania. #nmbkaribuyako
Image from NMB Bank Plc: Kama mdau wa maendeleo nchini, tunaendelea kushirikiana na Serikali ku...
❤️ 😮 👀 👍 6

Comments