NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
June 20, 2025 at 08:54 AM
Tumepata wageni spesho! Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kifungilo wametembelea Makao Makuu ya Benki yetu kwa ajili ya kujifunza kuhusu mchango wa NMB katika kukuza biashara ndogo na za kati (SMEs). Wameondoka na maarifa kibao; kuanzia elimu ya masuala ya kifedha, hadi suluhisho zetu bunifu kwa wajasiriamali. Tunaendelea kuwa karibu na vijana kwa kutoa elimu na huduma zinazogusa maisha yao na ndoto zao. #usiachwe
👍 ❤️ 😂 👏 😮 🫣 18

Comments