Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #wakubwa

Posts

SALA YA KILA SIKU YA KUMWEKEA YESU NAFSI YAKO Ee ...

SALA YA KILA SIKU YA KUMWEKEA YESU NAFSI YAKO Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, uliotoka damu ya kuwakombo...

MASOMO NA TAFAKARI SIKU YA ALHAMIS - 19 JUNI 2025 ...

MASOMO NA TAFAKARI SIKU YA ALHAMIS - 19 JUNI 2025 Mtakatifu Romualdi, Abate. Somo la Kwanza: 2 Kor...

TRA YAENDELEA NA KAMPENI YA ELIMU YA KODI NA KUSIK...

TRA YAENDELEA NA KAMPENI YA ELIMU YA KODI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO Naibu Kamishna wa Walipakodi W...

Kama mdau wa maendeleo nchini, tunaendelea kushiri...

Kama mdau wa maendeleo nchini, tunaendelea kushirikiana na Serikali kukuza uwekezaji na kuujenga uch...

🕯️ *MIKASA YA SEKONDARI* *Sura ya 17: Kituo Kis...

🕯️ *MIKASA YA SEKONDARI* *Sura ya 17: Kituo Kisicho na Mlango wa Kuingia* --- Amina alifika *Ki...

JE WAJUA? Kwamba kuna ndege aitwaye oxpecker ambay...

JE WAJUA? Kwamba kuna ndege aitwaye oxpecker ambaye ana uhusiano wa karibu sana na wanyama wakubwa k...

Sasa nitashida kuview profile yako hadi lini siun...

Sasa nitashida kuview profile yako hadi lini siunipee ruhusa ni DM tuongee kama watu wakubwa ama ni...

1. *Korea Kusini kuhalalisha stablecoins* . Chama ...

1. *Korea Kusini kuhalalisha stablecoins* . Chama tawala nchini Korea Kusini kimewasilisha muswada m...

BAKHRESA AIPONGEZA TRA KWA KUTOA ELIMU NA KUTATUA ...

BAKHRESA AIPONGEZA TRA KWA KUTOA ELIMU NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KODI Mlipakodi binafsi mwenye hadhi...

RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* K...

RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* KWENDA KWA; *MAJIVU YA FASIHI channel* WhatsApp; 07...

*Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira ...

*Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeandaa programu za kusim...

Aviation Tanzania on Instagram: "Kampuni ya ndege ya @delta imesema kuwa ikiwa serikali ya Marekani itaweka ushuru mpya kwa ndege na vipuri vinavyoagizwa kutoka nje ya nchi, kampuni hiyo inaweza kuacha kununua ndege kutoka nje na pia kufuta baadhi ya safari zake za kimataifa, hatua inayoweza kuathiri zaidi ya abiria milioni 10 ambao husafiri kwa kutumia ndege za kampuni hiyo kwa mwaka. Delta ilitoa taarifa hiyo katika Wizara ya Biashara ya Marekani wiki iliyopita, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa serikali kuhusu usalama wa taifa unaohusiana na bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, Uchunguzi unaoweza kusababisha serikali kuongeza ushuru wa ndege, injini na vipuri vya ndege kutoka nje. Ikiwa ushuru huo utaanza kutekelezwa bila kampuni kupewa muda wa kujiandaa, utaathiri uwezo wa Marekani kutengeneza ndege, na pia utaifanya Delta ishindwe kununua ndege mpya,kutoka ndani ya na nje ya Marekani. Katika miaka ya 2023 na 2024, Delta ilinunua ndege 47 aina ya Airbus kutoka Canada, Ujerumani na Ufaransa, endapo ushuru huo ungekuwepo wakati huo, kampuni hiyo isingeweza kuendelea na safari zake za kuhudumia abiria milioni 10 kwa mwaka. Delta inaweza kulazimika kufuta mikataba ya ununuzi wa ndege, na kuacha kabisa mipango ya kununua ndege mpya, jambo ambalo litaathiri kampuni zinazotengeneza ndege nchini Marekani kama vile Boeing na Airbus, kwa sababu baadhi ya ndege hizo hutengenezwa sehemu mbalimbali duniani kwa kushirikiana. Mwezi Aprili, serikali ya Rais Trump ilitangaza ushuru wa 10% kwa karibu ndege zote na vipuri vinavyotoka nje ya nchi. Ikiwa ushuru huo utaongezwa zaidi, Delta imesema inaweza kuahirisha au kufuta maagizo ya ndege mpya. Wizara ya Biashara ya Marekani, kupitia waziri wake Howard Lutnick, imesema inatarajia kukamilisha uchunguzi huu mwishoni mwa mwezi Juni na baadaye kutoa mapendekezo kwa Rais Trump ili afanye uamuzi wa mwisho. Makampuni ya ndege na viwanda vya kutengeneza ndege sasa yanaiomba serikali ya Marekani irejee kwenye makubaliano ya kimataifa ya mwaka 1979 ambayo yaliruhusu biashara ya ndege kufanyika bila ushuru. #trumptarrifs #airbus #airline #deltaairlines✈️ #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKrUuZ9t2ms/?igsh=bW1pY2NoamRmdGdl *Delta yaonya kusitisha agizo la nde...