Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #kusisimua

Posts

*🎬 NOWHERE (2023) - Survival Thriller Ya Kusisimu...

*🎬 NOWHERE (2023) - Survival Thriller Ya Kusisimua* Mia, mjamzito, anakwama ndani ya kontena lilil...

[𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐍𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐄𝐓...

[𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐍𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐄𝐓𝐔]╠♥︎ > 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐌𝐎 ✨✨✨✨✨✨✨✨ 💫 *Story za k...

🍿 🍿 🎥 🎥 🍿 🍿 🎬 *2025 NEW MOVIE* 🎬 📝 *Nam...

🍿 🍿 🎥 🎥 🍿 🍿 🎬 *2025 NEW MOVIE* 🎬 📝 *Name:* The Accountant 2 2025 🎭 *Genres:* Action / C...

Globify Movies

*GLOBIFY MOVIES* https://chat.whatsapp.com/IJxRdHgugSGGM8oTGrYpsQ Karibu *Globify Movies* - Sehemu...

*RONALDO NA VITOTO VYA ELFU MBILI⚽* Leo, Jumamosi...

*RONALDO NA VITOTO VYA ELFU MBILI⚽* Leo, Jumamosi, Juni 8, 2025, kutakuwa na mechi kubwa na ya kusi...

*🇩🇪⚽️ GERMANY vs FRANCE – Mechi ya Mchujo wa Naf...

*🇩🇪⚽️ GERMANY vs FRANCE – Mechi ya Mchujo wa Nafasi ya Tatu UEFA Nations League!* 📅 _Jumapili, J...

D͎e͎e͎p͎ V͎o͎i͎c͎e͎s͎ 🦋 | WhatsApp Channel

[𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐍𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐄𝐓𝐔]╠♥︎ > 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐌𝐎 ✨✨✨✨✨✨✨✨ 💫 *Story za k...

*YAMAL USO KWA USO NA RONALDO FAINALI ⚽* Mchezo w...

*YAMAL USO KWA USO NA RONALDO FAINALI ⚽* Mchezo wa jana, Alhamisi, Juni 5, 2025, kati ya Uhispania ...

Aviation Tanzania on Instagram: "Mwaka 2023, mama mmoja kutoka Ethiopia aitwaye Minalu Mergiya ilivutia watu wengi duniani kutokana na hadithi yake ya kusisimua. Kwa zaidi ya miaka 30, aliishi na kufanya kazi ya ndani nchini Lebanon ili kumsaidia mwanawe afikie ndoto yake ya kuwa rubani. Minalu Mergiya, alihamia Lebanon miaka ya 1990 akiwa na ndoto moja kubwa: kumpa mwanawe maisha bora. Kwa miaka 30, Minalu alifanya kazi kama mfanyakazi wa ndani katika familia mbalimbali, akihangaika siku zote kumlipia mwanawe ada ya shule na kumtunza akiwa mbali. Mwanawe, Kirubel Salomon, alipokuwa mdogo, alitamani kuwa rubani, ndoto ambayo mama yake aliichukulia kwa uzito mkubwa.Wakati Minalu alipokuwa mbali na mwanae waliwasiliana kwa barua Mara kadhaa, akimtia moyo katika kila hatua ya maisha. Na juhudi hizo hazikuenda bure: Kirubel alifanikiwa kujiunga na masomo ya urubani na hatimaye kuwa rubani wa shirika la ndege la Ethiopian Airlines, shirika kubwa na maarufu zaidi la ndege barani Afrika. Miaka mingi ilipita tangu Minalu atembelee nchini Ethiopia. Lakini siku moja, alifunga safari ya kurejea nyumbani, safari ambayo haikuwa ya kawaida. Bila kujua, alipanda ndege ambayo ilikuwa ikiongozwa na mwanawe Kirubel. Kile alichodhani kuwa ni safari ya kawaida ya kurejea nyumbani kiligeuka kuwa tukio la kihistoria katika maisha yake. Video ya tukio hilo, iliyoanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia Reddit na baadaye kuripotiwa na vyombo mbalimbali ilionyesha Minalu akipanda ndege huku akiwa hajui chochote kuhusu tukio lilotokea. Baada ya kuketi, mhudumu wa ndege alifungua pazia. Kwa mshangao mkubwa, mama huyo alimwona mwanawe akiwa amesimama ndani ya sare kamili ya rubani, akiwa amebeba shada la maua, keki, na chupa ya mvinyo. Machozi yalimmwagika bila kujizuia. Aliinuka na kumkumbatia Kirubel kwa nguvu, huku abiria wengine wakishuhudia tukio hilo la kipekee kwa hisia kali. #motherslove❤️ #pilot #ethiopianairlines✈️ #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DKjTJU_Nyjq/?igsh=MW9zNWJnMG9qN3V1aw== *Mama aliyefanya kazi za ndan...

🎓📚 PHARMACY SCHOOL Safari ya Ukuaji, Maarifa na ...

🎓📚 PHARMACY SCHOOL Safari ya Ukuaji, Maarifa na Uvumilivu ✍🏽 Paul Josephat Njige Je, unajiandaa ...

> Je wajua kupata maarifa ni zaidi ya utajiri wa f...

> Je wajua kupata maarifa ni zaidi ya utajiri wa fedha, Anyway tuendelee kutafta mara katika kusoma ...

Aviation Tanzania on Instagram: "Tazama moja ya matukio ya kusisimua zaidi katika historia ya filamu, ambapo nyota wa filamu ya Mission Impossible anaonekana akiruka kutoka kwenye ndege moja hadi nyingine akiwa angani. Kwa kawaida, waandaaji wa filamu hutumia teknolojia ya kompyuta (CGI) kuonesha uhalisia wa matukio kama haya, lakini katika filamu hii, tukio hilo limetekelezwa kwa uhalisia. Mission: Impossible – The Final Reckoning (2025) ni sehemu ya nane na ya mwisho katika mfululizo wa filamu za Mission: Impossible, iliyoongozwa na Christopher McQuarrie na kumshirikisha nyota huyo, Tom Cruise, kama Ethan Hunt. Filamu hii ilizinduliwa rasmi katika Tamasha la Filamu la Cannes tarehe 14 Mei 2025, na ilianza kuonyeshwa katika sinema duniani kote kuanzia tarehe 23 Mei. #filmmaking #missionimpossible #cgi #aviationenthusiast #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DKcxgLJM668/?igsh=OGNvaHZ3a2VqYzJk Tazama moja ya matukio ya kusisim...