Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #arusha

Posts

Aviation Tanzania on Instagram: "Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuanzisha Huduma Saa 24 Kuanzia Desemba. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameeleza kuwa, kuanzia mwezi Desemba 2025, Uwanja wa Ndege wa Arusha utaanza kutoa huduma kwa saa 24 kila siku. RC Makonda ameyasema hayo 17 Juni 2025 alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya uboreshaji wa miundombinu katika uwanja huo. Kwa sasa,wakandarasi wanaendelea na zoezi la kuweka taa za kuongozea ndege, hatua muhimu katika maandalizi ya kuufanya uwanja huo kutoa huduma zake Kwa saa 24. Aidha, serikali imepanga kupanua barabara ya kurukia na kutua ndege (runway) hadi kufikia urefu wa mita 500 na Ili kufanikisha hili, serikali inataraajia kuhamisha wakazi wa eneo la Magereza, ambalo lipo karibu na uwanja huo. #airport #tanzaniaairportsauthority #arushaairport #airportinfrastructure #runway #aviationupdate #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzanianews"

https://www.instagram.com/reel/DLAPeI3t18q/?igsh=MXU4NHBqcnA2ZW5zcA== *Uwanja wa Ndege wa Arusha Ku...

Aviation Tanzania on Instagram: "Mmoja wa abiria waliosafiri Kwa Mara ya kwanza kutoka Nairobi hadi Arusha (WIL–ARK),Kwa kutumia ndege za shirika la @flightlinktz ameielezea safari hiyo kuwa ya haraka na yenye urahisi mkubwa. #Airlines #flightlink #newroute #routeexpansion #airlinepassenger #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DK_33PYtyzw/?igsh=cGpwY3lrY2lmdGU3 Mmoja wa abiria waliosafiri Kwa M...

Aviation Tanzania on Instagram: "RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya Flightlink Kutoka Nairobi Hadi Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, @baba_keagan , leo Juni 17,2025 ametembelea katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na kushuhudia kwa mara ya kwanza safari mpya ya ndege ya shirika la Flightlink iliyoanzia Uwanja wa Ndege wa Wilson, jijini Nairobi, Kenya hadi uwanja wa ndege wa Arusha. RC Makonda alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mkuu wa Uendeshaji wa Flightlink Bw.Jameel Kassam kuhusu umuhimu wa safari hizo kwa mkoa wa Arusha na maendeleo ya sekta ya utalii na biashara. Safari hii mpya ya moja kwa moja kati ya Arusha (ARK) na Nairobi (WIL) ni ya kwanza kuanzishwa nchini Tanzania, safari ambayo hutumia muda wa Dakika 45. #Airlines #flightlink #newroute #routeexpansion #atr72 #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DK9QCgltxDb/?igsh=NjlkaTJnc3dzN3dk *RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya...

https://www.instagram.com/p/DK7j_6TNByQ/?igsh=MTlq...

https://www.instagram.com/p/DK7j_6TNByQ/?igsh=MTlqM21mcGV4M2M4ag== *Flightlink yazindua safari mpya...

FOCODE (@FOCODE_) on X

https://x.com/FOCODE_/status/1933933581392322946? 🔴 #NotreMémoire – CENI : un miroir de la démocrat...

*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA ...

*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA NI MWANA THABITI WA AFRIKA* Waziri wa Fedha, Mhe....

Nafasi Ya Kazi :- Country Manager At Eleving Group June 2025 - AJIRA ZETU

*NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI JUNE 2025 🇹🇿 👇* Nafasi ya kazi :- Country Manager at Eleving Group Ju...

Pacifique Nininahazwe

https://www.facebook.com/share/p/1ZC17TiwvQ/ 🔴 #KahiseKacu Ibihe bikomeye vyerekana abagabo n'abata...

Nafasi Ya Kazi :- Accountant, Store-Keeper, Accounting & Finance Manager At Arusha Meat Company Limited June 2025 - AJIRA ZETU

*NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI JUNE 2025 🇹🇿 👇* Nafasi ya kazi :- Accountant, Store-Keeper, Accounti...

*TAASISI NUNUZI ZASHAURIWA KUZINGATIA SHERIA KANUN...

*TAASISI NUNUZI ZASHAURIWA KUZINGATIA SHERIA KANUNI NA MIONGOZO* Taasisi Nunuzi zashauriwa kuzingat...

*PEDRI WA BARCELONA AJA KUTALII TANZANIA ⚽* Nyota...

*PEDRI WA BARCELONA AJA KUTALII TANZANIA ⚽* Nyota wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Ped...

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI ARUSHA MEAT COMPANY > h...

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI ARUSHA MEAT COMPANY > https://elimutimes.com/arusha-meat-company-limited-...