Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #lindi

Posts

*Selous Game Reserve (sasa sehemu yake kubwa inait...

*Selous Game Reserve (sasa sehemu yake kubwa inaitwa Nyerere National Park)* ni mojawapo ya maeneo y...

🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 10...

🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 10:00 Jioni, 📻 kupitia Ruangwa FM 88.4 FM, Lindi...

🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 5:...

🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 5:00 Asubuhi, 📻 kupitia Mtama FM 106.3 FM, Lindi...

Form Six Pre National Mtwara & Lindi 2025 With Marking Schemes

*FORM SIX PRE-NECTA EXAM SOUTHERN ZONE (MTWARA AND LINDI) 2025 WITH MARKING SCHEMES* 👇🏽👇🏽https:...

⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAM...

⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Na WAF, Lindi ...

*Tumsifu Yesu Kristo mtoto wa Mama*.🤝🙏🏽👏🏾 🌺...

*Tumsifu Yesu Kristo mtoto wa Mama*.🤝🙏🏽👏🏾 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺 *Tunakukaribisha katika Mpambano we...

Form Six Pre Necta Joint Exam 2025 Tanga, Iringa, Singida, Morogoro, Dodoma, Lindi & Mtwara Solved

*Form Six Pre Necta Joint Exam 2025 Tanga, Iringa, Singida, Morogoro, Dodoma, Lindi & Mtwara Solved*...

Form Six Pre National Mtwara & Lindi 2025 With Marking Schemes

*FORM SIX PRE-NECTA EXAM SOUTHERN ZONE (MTWARA AND LINDI) 2025 WITH MARKING SCHEMES* 👇🏽👇🏽https:...

*CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - DSM* *STD VII EXE...

*CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - DSM* *STD VII EXECUTIVE INTERSCHOOL EXAM (PRE NECTA)* 30&31 JULY 20...

Lindi*...

Lindi*

TBC DIGITAL on Instagram: "Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu. Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalumu, Maimuna Ahmad Pathan aliyetaka kujua ni lini Serikali itajenga uzio kwa shule zilizopo maeneo hatarishi kwa kuwa shule nyingi za Mkoa wa Lindi hazina uzio. Katimba ameongeza kuwa kwa mwaka 2022/2023 hadi 2023/2024 Serikali imetoa shilingi bilioni 5.57 kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule 185 za watoto wenye mahitaji maalumu ikiwemo shule ya msingi Namakonde iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Aidha, amesema shilingi milioni 105.57 zimetumika kujenga uzio katika shule za sekondari Lindi Wasichana na Nachingwea Wasichana ambapo Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaendelea kutenga fedha za ujenzi wa uzio kwa ajili ya usalama wa wanafunzi na mali za shule kadiri ya upatikanaji wa fedha. 📸✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates"

*Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika sh...

*CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - DSM* *STD VII EXE...

*CENI EDUCATIONAL CONSULTANCY - DSM* *STD VII EXECUTIVE INTERSCHOOL EXAM (PRE NECTA)* 30&31 JULY 20...