Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #mv22osprey
Posts
Aviation Tanzania on Instagram: "Jeshi la Marekani na Jeshi la Tanzania (JWTZ) washirikiana katika operesheni za Anga. Jeshi la Marekani limefanya mazoezi ya pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika operesheni za anga, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya mataifa haya mawili. Ushirikiano huu umetajwa kuwa sehemu ya juhudi za kimataifa za kukuza ulinzi na usalama barani Afrika. Mazoezi haya yanatarajiwa kuimarisha ufanisi wa vikosi hivyo katika operesheni mbalimbali za anga na kuendeleza mahusiano ya kijeshi kati ya Tanzania na Marekani. . @usembassytz #usembassy #mv22osprey #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGDxfkltqrv/?igsh=MWluZzllMW4zMDhqeA== *Jeshi la Marekani na Jeshi l...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wajifunza kuhusu ndege za kijeshi za MV-22 Osprey. Wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wamepata fursa ya kutembelea ndege za kijeshi za Marekani aina ya MV-22 Osprey, na kupokea maelezo ya kina kutoka kwa marubani wa jeshi la Marekani kuhusu uwezo na muundo wa ndege hizo za kipekee. Ndege hizo hutumika kwa mazoezi ya kijeshi yajulikanayo kama Justified Accord 2025,mazoezi yanayohusisha vikosi vya jeshi la nchi kavu kutoka Tanzania na Marekani kwa mafunzo ya pamoja ya Operesheni za Usaidizi wa Amani. Ushirikiano huu wa kijeshi unalenga kuimarisha usalama wa kikanda na kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya ulinzi na usalama. . @usembassytz #usembassy #mv22osprey #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DF924x6tO1a/?igsh=MXRkNm5xZHVqYzEzaQ== *Ubalozi wa Marekani nchini Tanz...