
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 14, 2025 at 03:58 PM
https://www.instagram.com/reel/DGDxfkltqrv/?igsh=MWluZzllMW4zMDhqeA==
*Jeshi la Marekani na Jeshi la Tanzania (JWTZ) washirikiana katika operesheni za Anga.*
Jeshi la Marekani limefanya mazoezi ya pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika operesheni za anga, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya mataifa haya mawili.
Ushirikiano huu umetajwa kuwa sehemu ya juhudi za kimataifa za kukuza ulinzi na usalama barani Afrika.
Mazoezi haya yanatarajiwa kuimarisha ufanisi wa vikosi hivyo katika operesheni mbalimbali za anga na kuendeleza mahusiano ya kijeshi kati ya Tanzania na Marekani.
.
@usembassytz
#usembassy #mv22osprey #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv