Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #ptr

Posts

Q1. Periyar Tiger Reserve (PTR) lies in which stat...

Q1. Periyar Tiger Reserve (PTR) lies in which state?

📌 Job Openings – UAE (Updated June 2025) 🚨 Mult...

📌 Job Openings – UAE (Updated June 2025) 🚨 Multiple Vacancies | Apply Now! --- 💼 1. Accountan...

सभी बीएसए/बीईओ, स्कूलों में पढ़ाई शुरू हो गई है.....

सभी बीएसए/बीईओ, स्कूलों में पढ़ाई शुरू हो गई है.. कृपया सुनिश्चित करें कि शिक्षक निम्नलिखित कार्य क...

🚨All BSA s/BEO s , Schools have started.. please ...

🚨All BSA s/BEO s , Schools have started.. please ensure that teachers do the following task and mon...

*CORRIDA RESPIRÁLIS* _(Recife)_ https://bit.ly/3HY...

*CORRIDA RESPIRÁLIS* _(Recife)_ https://bit.ly/3HYziX2 *42ª CICORRE - TORRE MALAKOFF* _(Recife)_ ht...

Massive Fire Erupts at Pangram DSS; Flames Spread from PTR-1 to PTR-3

https://barakoutlet.in/local/massive-fire-erupts-at-pangram-dss-flames-spread-from-ptr-1-to-ptr-3/

Chairman & Senior Officials of #Fairfax Financial ...

Chairman & Senior Officials of #Fairfax Financial Holdings and Operator of #Bengaluru Airport met #T...

*PTR - PROJECT TRAIL RUN* 📆 15/06/2025 ⏰ 5h30 📍...

*PTR - PROJECT TRAIL RUN* 📆 15/06/2025 ⏰ 5h30 📍 Gravatá, Distrito de Mandacaru 🎟️ *CUPOM 10%OFF:...

विद्यालय के लिए *छात्र-शिक्षक अनुपात* (PTR)...

विद्यालय के लिए *छात्र-शिक्षक अनुपात* (PTR)

*🔰विद्यालय के लिए *छात्र-शिक्षक अनुपात* (PTR) htt...

*🔰विद्यालय के लिए *छात्र-शिक्षक अनुपात* (PTR) https://www.indiakasamachar.com/2025/06/primary-ka-ma...

*🐅 झारखंड की पहली टाइगर सफारी योजना🌿* झारखंड सर...

*🐅 झारखंड की पहली टाइगर सफारी योजना🌿* झारखंड सरकार ने पलामू टाइगर रिज़र्व (PTR) के पास 150 हेक्टे...

tangarahatz on Instagram: "TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Tanga (Takukuru) imeeleza kwamba moja ya mafanikio ya utendaji wake kazi katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2025 ni mafanikio katika kuboresha mfumo wa huduma za udhibiti taka ngumu Jijini Tanga. Hayo yalisemwa leo na Kaimu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga Mariam Mayaya wakati akitoa taarifa kwa umma juu ya mafanikio ya utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025. Alisema kwa upande wa uchambuzi wa mifumo katika kipindi hicho taasisi hiyo imefanikiwa kutekeleza matakwa ya sheria na kanuni za udhibiti taka ngumu nchini Tanzania kwa kutumia mfumo wa Punguza,Tumia Tena na Rejeleza taka (PTR) au Reduce,Re-use and Reycle (3R), Aidha alisema katika mkoa wa Tanga mfumo huo ulianza katika kata ya Central,Chumbageni na Ngamiani Kati pamoja na utekelezaji wa sheria ya udhibiti wa taka ngumu,uchambuzi uliofanywa na Takukuru umesaidia mikakati na maazimio ya kulipwa kwa madeni ya wazabuni hivyo kufanya kazi ya uzoaji taka kuanza kutekelezwa kwa ufanisi. Mariam alisema kwamba kwa ujumla zimefanyika chambuzi za mifumo 20 katika sekta za udhibiti take na usafi wa Mazingira,Afya,Kilimo na mapato ambapo wamefanikiwa kubaini mapungufu na kuwasilisha ripoti za chambuzi husika kwa wadau ambazo zimejadiliwa na maazimio yaliyofikiwa yametekelezwa na mengine yanaendelea kutekelezwa kwa ufanisi. Akizungumzia ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo,Mariam alisema kwamba katika kipindi cha Januari hadi Machi 2025 walifanya kazi ya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za umma katika miradi 54 yenye thamani ya Bilioni 240,264,703,118.09. Alisema katika ufuatiliaji wa miradi hiyo  iliyopo katika sekta za Maji,Elimu na Afya ambapo miradi 12 yenye thamani ya Sh.Bilioni 5,468,760,058 ilibainika kuwa na mapungufu ambapo ushauri wa marekebisho yalitolewa na hatua za marekebisho ya mapungufu hayo zimechukuliwa  na miradi ipo katika hali inayokidhi ubora kulingana na thamani ya fedha zilizowekezwa. Mwisho."

Na Oscar Assenga, TANGA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Tanga (TAKUKURU) imeeleza k...