
Kigoma Region Tanzania
February 20, 2025 at 08:43 AM
*KIMBA ZIWANI -KIJIJI MWAKIZEGA-UVINZA*
*Historia kwa ufupi wanaoisikia mwakizega*
*Mapokeo*
*Mtware Hadija wakizega* kutoka kabila la WATONGWE *TONGWE EMPIRE* ndio mtawala wa Eneo hili la Mwakizega..
Huyu Ndio aliwapokea Jamii ya Waarabu Ambao aliwapeleka mpaka Ilagala kwenda kulima mbaazi na kuvuna Sufi Mashambani kwa Ajili ya kutengeneza magodoro,
Kati yahao Waarabu ni Mzee Ahmad Suod na Khalfan Soud ambaao walikua ni mkubwa na mdogo,
Kutoa ktk Koo Hiyo ya watongwe Wazee Maarufu ktk Eneo hili ni Mzee *Katanga Mrisho Katanga* na *Athuman Mrisho Katanga (Nguvu ya mamba)* wote Hawa marehemu na HUYO mtawala alikua Dada yao.
Kizega chini ya wajukuu *Mtware Bora wakizega na Bakari wakizega TONGWE EMPIRE*
*#utalii wandani*
*#mwakizega yetu*
*#uvinza yetu*
*#kigoma yetu*
👍
1