Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #utalii
Posts
*FITCH YAITHIBITISHA TANZANIA KUWA NA MTAZAMO THAB...
*FITCH YAITHIBITISHA TANZANIA KUWA NA MTAZAMO THABITI ‘B+’ KWENYE TATHMINI YA NCHI KUKOPESHEKA KATIK...
*RAIS MWINYI:ZNZ KUIMARISHA UHUSIANO NA ZIMBABWE K...
*RAIS MWINYI:ZNZ KUIMARISHA UHUSIANO NA ZIMBABWE KATIKA DIPLOMASIA YA KIUCHUMI* Rais wa Zanzibar n...
Bank of Tanzania (BoT) on Instagram: "Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa Benki Kuu, Bw. Emmanuel Tutuba, imefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma. Ziara hiyo imefanyika tarehe 17 Juni 2025, ambapo Msimamizi wa Mradi, Mhandisi Kedrick Chawe, alieleza kuwa mradi huo unatekelezwa chini ya usimamizi wa TANROADS kwa ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Ujenzi huo unajumuisha njia ya kuruka na kutua ndege (runway), jengo la abiria, jengo la kuongozea ndege, pamoja na miundombinu mingine muhimu. Kukamilika kwa uwanja huu kunatarajiwa kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii, kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, kurahisisha usafirishaji wa mizigo, na hivyo kuongeza mapato ya serikali. Aidha, mradi huu utaimarisha hadhi ya Dodoma kama mji mkuu na kuchangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa taifa."
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa ...
Bank of Tanzania (BoT) on Instagram: "Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa Benki Kuu, Bw. Emmanuel Tutuba, imefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma. Ziara hiyo imefanyika tarehe 17 Juni 2025, ambapo Msimamizi wa Mradi, Mhandisi Kedrick Chawe, alieleza kuwa mradi huo unatekelezwa chini ya usimamizi wa TANROADS kwa ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Ujenzi huo unajumuisha njia ya kuruka na kutua ndege (runway), jengo la abiria, jengo la kuongozea ndege, pamoja na miundombinu mingine muhimu. Kukamilika kwa uwanja huu kunatarajiwa kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii, kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, kurahisisha usafirishaji wa mizigo, na hivyo kuongeza mapato ya serikali. Aidha, mradi huu utaimarisha hadhi ya Dodoma kama mji mkuu na kuchangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa taifa. Katika hatua nyingine, Bodi hiyo ilitembelea Kiwanda cha kutengeneza mvinyo wa zabibu cha CETAWICO kilichopo Hombolo, jijini Dodoma, ambako walipokelewa na Mkurugenzi wa Masuala ya Shirika, Bi. Katherine Mwimbe. Alieleza kuwa uwepo wa kiwanda hicho umeleta manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii, ikiwemo kuongeza kipato cha wakulima wadogo kwa kununua zabibu zao na kutoa ajira kwa zaidi ya watu 5,000 katika sekta ya kilimo kupitia zao la zabibu. Kiwanda cha CETAWICO kinachangia kutangaza bidhaa za Tanzania katika soko la kimataifa kupitia mauzo ya mvinyo bora, hivyo kuimarisha mnyororo wa thamani wa kilimo na kuchochea maendeleo ya viwanda nchini. Ziara hizo za Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania katika miradi ya kimkakati na shughuli za kiuchumi zinawawezesha kupata uelewa wa kina kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo, changamoto zilizopo, na mchango wake katika kukuza uchumi wa taifa, ili kuwezesha maamuzi sahihi na yenye tija katika usimamizi wa sera ya fedha na maendeleo ya uchumi wa nchi."
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa ...
Aviation Tanzania on Instagram: "RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya Flightlink Kutoka Nairobi Hadi Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, @baba_keagan , leo Juni 17,2025 ametembelea katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na kushuhudia kwa mara ya kwanza safari mpya ya ndege ya shirika la Flightlink iliyoanzia Uwanja wa Ndege wa Wilson, jijini Nairobi, Kenya hadi uwanja wa ndege wa Arusha. RC Makonda alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mkuu wa Uendeshaji wa Flightlink Bw.Jameel Kassam kuhusu umuhimu wa safari hizo kwa mkoa wa Arusha na maendeleo ya sekta ya utalii na biashara. Safari hii mpya ya moja kwa moja kati ya Arusha (ARK) na Nairobi (WIL) ni ya kwanza kuanzishwa nchini Tanzania, safari ambayo hutumia muda wa Dakika 45. #Airlines #flightlink #newroute #routeexpansion #atr72 #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK9QCgltxDb/?igsh=NjlkaTJnc3dzN3dk *RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya...
Shilingi ya Tanzania imeimarika kwa kasi na kuwa m...
Shilingi ya Tanzania imeimarika kwa kasi na kuwa miongoni mwa fedha zinazofanya vizuri zaidi duniani...
*CP WAKULYAMBA AFUNGA MAFUNZO YA WATUMISHI JESHI L...
*CP WAKULYAMBA AFUNGA MAFUNZO YA WATUMISHI JESHI LA UHIFADHI NA KUSISITIZA NIDHAMU NA UADILIFU KATIK...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tuzo za Dunia za Utal...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tuzo za Dunia za Utalii (World Travel Awards – WTA) kwa Afrika na Kanda...
Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga miundombinu ...
Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga miundombinu ya viwanja vya ndege ili kuiwezesha kuwa kituo bor...
Aviation Tanzania on Instagram: "Mashirika ya Ndege 46 na Wajumbe 500 Wakutana Katika Mkutano wa Maendeleo ya Sekta ya Anga Zanzibar. Zaidi ya mashirika ya ndege 46 na wajumbe 500 kutoka mataifa mbalimbali duniani wamekutana visiwani Zanzibar kushiriki Mkutano wa Maendeleo ya Sekta ya Anga Afrika (AviaDev Africa), unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip. Mkutano huu umezinduliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambaye pia ni mgeni rasmi wa tukio hilo ukiwakutanisha Wakurugenzi Wakuu wa mashirika ya ndege, viongozi wa viwanja vya ndege, maafisa wa bodi za utalii, na wawakilishi wa serikali kutoka Afrika na kwingineko duniani. Mkutano huo umetajwa kusaidia ongezeko la safari za moja kwa moja visiwani Zanzibar na maeneo mengine ya Afrika kwa njia ya ushirikiano wa kimkakati kati ya sekta binafsi na serikali, ili kuchochea ukuaji wa utalii na uchumi wa ndani. Mkutano huo unajumuisha majadiliano ya ana kwa ana baina ya mashirika ya ndege na viwanja vya ndege, mijadala ya kitaalamu kuhusu usafiri wa anga, pamoja na maonyesho ya fursa za uwekezaji. #aviadev #aviation #aviationprofessionals #aviationenthusiast #aviationtanzania✈ #aviatamedia"
https://www.instagram.com/p/DKy67lktNC1/?igsh=MWZ2dWUyeTJoYWRpcQ== *Mashirika ya Ndege 46 na Wajumb...
*🌍 Ngorongoro National Park – Tanzania 🇹🇿* ➤ *...
*🌍 Ngorongoro National Park – Tanzania 🇹🇿* ➤ *Mahali*: Kaskazini mwa Tanzania, karibu na Arusha ...
*WAONGOZA UTALII WATOA KONGOLE KWA NCAA MABORESHO ...
*WAONGOZA UTALII WATOA KONGOLE KWA NCAA MABORESHO YA BARABARA KUELEKEA MSIMU WA UTALII.* Na Mwandi...