TRA TANZANIA
May 21, 2025 at 03:00 PM
#arusha Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo, 21 Mei, 2025 wametoa elimu ya kodi kwa wafanyabiashara wa maeneo ya Sombetini jijini Arusha kwa kuwasisitiza kwenda kufanya makadirio ya kodi, kutoa risiti za EFD, kulipa kodi zao stahiki kwa wakati. Aidha, Maafisa wa TRA wamesikiliza kero za wafanyabiashara hao na kupokea maoni yao.
❤️
👍
2