
TCRA TANZANIA
May 23, 2025 at 10:34 AM
📌 Yafahamu matumizi mbalimbali ya Rasilimali Masafa;
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasimamia rasilimali za mawasiliano ikiwemo masafa, namba za mawasiliano, kikoa cha taifa cha dot tz (.tz) na anwani na postikodi ambazo ni muhimu kwa huduma za mawasiliano kufanya kazi.
Unaweza kutazama mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube ya tcra_tanzania au bofya kiunganishi hiki https://www.youtube.com/watch?v=xgEBVsYPvz4
tcratz #tcrapn #tcrataarifa #utangazaji #tanzania #spectrum #masafa
👍
🙏
😢
7