Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #masafa

Posts

DIPLOMASIA: Israel imefanya mashambulizi Nchini Ir...

DIPLOMASIA: Israel imefanya mashambulizi Nchini Iran katika Mji wa Tehran ikiwa ni sehemu ya Oparesh...

📌PUBLIC NOTICE📌 The application window for part...

📌PUBLIC NOTICE📌 The application window for participation in the award of Radio Frequency Spectrum...

📌TAARIFA KWA UMMA📌 Dirisha la kupokea maombi ya...

📌TAARIFA KWA UMMA📌 Dirisha la kupokea maombi ya kushiriki katika mnada wa ugawaji masafa ya mawas...

📌Taarifa kwa Umma📌 KUCHAPISHWA KWA WARAKA WA UGA...

📌Taarifa kwa Umma📌 KUCHAPISHWA KWA WARAKA WA UGAWAJI WA MASAFA YA MAWASILIANO YA SIMU NA INTANETI ...

Aviation Tanzania on Instagram: "Qatar Airways yatupilia mbali agizo la ndege 25 za Boeing 737 MAX 10. Shirika la ndege la Qatar Airways limethibitisha kusitisha mpango wake wa kununua ndege 25 aina ya Boeing 737 MAX 10, uamuzi ambao unatamatisha rasmi agizo hilo lililotolewa mwaka 2022 katika Maonyesho ya Anga ya Farnborough. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Bloomberg, Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika hilo, Badr Al-Meer, alifichua hatua hiyo, akiielezea kuwa ni sehemu ya mabadiliko ya mikakati ya shirika hilo katika usafiri wa ndani na wa masafa mafupi. Uamuzi huu umekuja wakati Qatar Airways ikiwa tayari imesaini agizo jipya la ndege zenye thamani ya dola bilioni 96 za Kimarekani kwa ndege 160 aina ya Boeing 787 na 777X, lakini imeamua kuachana kabisa na ndege za Boeing MAX 10. Mpango wa kufuta agizo hilo ulianza kuvuma Disemba mwaka jana, huku vyanzo vya habari vikidokeza kuwa MAX 10 haikidhi tena mahitaji ya sasa ya mtandao wa ndege za Qatar Airways. Ilitarajiwa kuwa shirika hilo huenda lingebadilisha agizo hilo na kuagiza Boeing 737 MAX 8, lakini hatimaye likachagua kufuta agizo lote. Agizo hilo lilitangazwa kwenye maonyesho ya Farnborough mwaka 2022 na aliyekuwa Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Boeing Commercial Airplanes, Stan Deal, ambaye aliitaja MAX 10 kama chaguo bora kwa mtandao wa safari za kikanda za Qatar Airways. Kwa sasa, Qatar Airways inaelekeza mikakati yake katika safari za masafa mafupi kwa kuagiza ndege kutoka kampuni ya Airbus. Kwa mujibu wa takwimu za ch-aviation, shirika hilo lina ndege 50 aina ya Airbus A321neo ambazo bado hazijakabidhiwa. #fleetexpansion #airline #qatarairways #boeing737max10 #airbus #farnboroughinternationalairshow #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKHgrO4MvtT/?igsh=MXRmdHg1bnJlNWNnOQ== *Qatar Airways yatupilia mbali a...

📌 Yafahamu matumizi mbalimbali ya Rasilimali Masa...

📌 Yafahamu matumizi mbalimbali ya Rasilimali Masafa; Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasim...

𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔👇 √ Pakistan lili...

𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔👇 √ Pakistan lilikuwa ni Taifa lenye nguvu za nyuklia, lakini halik...

*HADITHI YA CLIFF YOUNG* *Mkulima Aliyetikisa Uli...

*HADITHI YA CLIFF YOUNG* *Mkulima Aliyetikisa Ulimwengu wa Mbio za Masafa Marefu* Wakati wanariad...

#𝑨𝒏𝒅𝒓𝒆́𝒔 𝒅𝒆 𝑭𝒐𝒏𝒐𝒍𝒍𝒐𝒔𝒂 : 𝑹𝒖𝒃𝒆�...

#𝑨𝒏𝒅𝒓𝒆́𝒔 𝒅𝒆 𝑭𝒐𝒏𝒐𝒍𝒍𝒐𝒔𝒂 : 𝑹𝒖𝒃𝒆𝒏 𝑨𝒎𝒐𝒓𝒊𝒎 ✍️Ukitaja series bora kwa miaka ya ...

TUMEPEWA AMRI YA KUKANYAGA NGE NA NYOKA.

https://wingulamashahidi.org/2020/11/18/tumepewa-mamlaka-ya-kukanyaga-nge-na-nyoka/ *TUMEPEWA AMR...

Siku chache zilizopita, baadhi ya watu walishangaa...

Siku chache zilizopita, baadhi ya watu walishangaa kuona ndege isiyokuwa na muundo wa kawaida kuelek...

Happy World Radio Day 2025 Tanzania inaungana na U...

Happy World Radio Day 2025 Tanzania inaungana na Ulimwengu mzima kuadhimisha siku ya Redio Duniani, ...