TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
June 2, 2025 at 08:03 PM
📌TAARIFA KWA UMMA📌 Dirisha la kupokea maombi ya kushiriki katika mnada wa ugawaji masafa ya mawasiliano ya simu na intaneti katika bendi ya 3600-3800 MHz kwa njia ya ushindani limefunguliwa rasmi. Bofya kiungo (link) hiki https://bit.ly/3Hz9aBW kupata nakala ya taarifa kwa Umma na Waraka wa Ugawaji Masafa ya Mawasiliano ya Simu na Intaneti katika bendi ya 3600-3800 MHz. Maombi yote yawasilishwe katika nakala ngumu kwa ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa TCRA iliyopo Ghorofa ya Nane Jengo la Mawasiliano, Na. 20 Barabara ya Sam Nujoma, S.L.P 474, 14414 Dar es Salaam. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 27 Juni 2025 saa 10 alasiri. #tcratz #tcrapn #tcrataarifa #telecommunication #hudumazasimu #tehama #spectrum #masafa
Image from TCRA TANZANIA: 📌TAARIFA KWA UMMA📌  Dirisha la kupokea maombi ya kushiriki katika mn...

Comments