Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #awali
Channels
Posts
*Energizer Pagi* *Kita Ini Hamba Allah !* *Memula...
*Energizer Pagi* *Kita Ini Hamba Allah !* *Memulai Hari Dengan Semangat dan Jiwa yg Sehat Karena Al...
*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA ...
*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA NI MWANA THABITI WA AFRIKA* Waziri wa Fedha, Mhe....
🌹💚🌹💚🌹💚🌹💚🌹 *السلام عليكم ورحمة الله وبركا...
🌹💚🌹💚🌹💚🌹💚🌹 *السلام عليكم ورحمة الله وبركاته* *MARI KITA AWALI PAGI INI DENGAN DZIKIR DI W...
whatsapp.com
Rhapsody Luganda Sat Jun 14 2025 AMAANYI AG’OKWOLEESEBWA N’OKULOWOOZA Yakobo n'addira obuti bw'om...
Aviation Tanzania on Instagram: "”Blackbox” ya ndege ya Air India yapatikana katika eneo la ajali. Mamlaka za India zimethibitisha kupatikana kwa moja kati ya vifaa viwili vya kurekodi taarifa muhimu (black box) kutoka kwenye ndege ya Air India safari namba AI171, ambayo ilianguka muda mfupi baada ya kuanza kupaa siku ya Jana juni 12,2025. Taarifa kutoka chombo cha habari cha Hindustan Times zinaeleza kuwa kifaa hicho kilipatikana asubuhi ya Leo, ingawa bado haijafahamika kama ni kifaa cha kurekodi mazungumzo ya marubani (Cockpit Voice Recorder) au taarifa za kiufundi za ndege (Flight Data Recorder). Kifaa hicho kinatarajiwa kutoa mwanga kuhusu dakika za mwisho kabla ya ajali hiyo mbaya kutokea. Wachunguzi sasa wameanza kuchambua mabaki ya ndege hiyo aina ya Boeing Dreamliner katika juhudi za kubaini chanzo cha ajali iliyosababisha vifo vya watu 241 kati ya 242 waliokuwemo, na kuifanya kuwa ajali ya anga mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya muongo mmoja. Kwa sasa, chanzo halisi cha ajali hiyo hakijafahamika. Hata hivyo, wataalamu wa usalama wa anga wana matumaini kuwa uchambuzi wa black box hiyo utatoa taarifa muhimu zitakazosaidia kueleza kilichojiri ndani ya dakika chache baada ya ndege hiyo kupaa. Ripoti ya awali ya uchunguzi inatarajiwa kutolewa ndani ya siku chache zijazo. #planecrash #blackbox #planecrashinvestigation #airindia #boeing787dreamliner #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK1lkv7taQF/?igsh=M2Q5dWJoZDI1Yzg4 *”Blackbox” ya ndege ya Air India ya...
Aviation Tanzania on Instagram: "Wakati dunia ikiomboleza ajali mbaya ya ndege ya Air India iliyotokea mchana wa Alhamisi Juni 12,2025 na kusababisha vifo vya mamia ya watu waliokuwemo ndani ya ndege hiyo, taarifa mpya zimetolewa na kuvunja hali ya ukimya zinazothibitisha kuwa abiria mmoja pekee amepatikana hai. Vishwash Kumar Ramesh, raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40, alipatikana akiwa hai katikati ya miili ya marehemu katika eneo la ajali, saa chache baada ya polisi kuthibitisha kuwa hakuna mtu aliyenusurika. Alikimbizwa Hospitali ya Serikali ya Asarwa, Ahmedabad, ambako kwa sasa amelazwa katika wodi ya kawaida, akiwa na majeraha ya kifua, macho na miguu. Vishwash alisimulia kuwa muda mfupi tu baada ya ndege hiyo kupaa, alisikia mlio mkubwa kisha ndege ikaanguka ghafla. Alisema tukio hilo lilitokea kwa kasi ya kushangaza kiasi kwamba hakuwa na muda wa kuelewa kilichotokea. Alipoamka, alijikuta akiwa katikati ya miili ya watu waliopoteza maisha. Alieleza kuwa alikuwa na hofu kubwa na alipoona anaweza kusimama, alikimbia kutoka eneo hilo huku akizungukwa na mabaki ya ndege. Mtu mmoja alimtokea na kumsaidia kumpakia kwenye ambulensi, na ndipo akafikishwa hospitalini. Ndege hiyo aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa ikielekea Uwanja wa Ndege wa Gatwick, Uingereza, ilibeba watu 242 wakiwemo wafanyakazi wa ndege. Vishwash alikuwa akirejea London pamoja na kaka yake, Ajay Kumar Ramesh, mwenye umri wa miaka 45, baada ya kutembelea familia yao nchini India. Alieleza kuwa wakiwa safarini yeye na kaka yake walikuwa wamekaa katika mistari tofauti ndani ya ndege na hadi sasa hajui kaka yake alipo. Taarifa hizi zimetolewa baada ya Kamishna wa Polisi wa Ahmedabad, G.S. Malik, awali kusema kuwa hakuna aliyenusurika katika ajali hiyo, kutokana na mlipuko mkubwa ulioharibu kabisa sehemu ya ndege na kusababisha vifo vingi papo hapo, wakiwemo wanafunzi waliokuwa kwenye bweni la Chuo Kikuu cha Tiba cha B.J. ambako ndege hiyo iliangukia. #planecrash #survivor #airline #airindia #boeing787dreamliner #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK1IbDKttU8/?igsh=MXFiZG5rMjc0cGR3dA== *Abiria mmoja anusurika katika a...
🌹💚🌹💚🌹💚🌹💚🌹 *السلام عليكم ورحمة الله وبركا...
🌹💚🌹💚🌹💚🌹💚🌹 *السلام عليكم ورحمة الله وبركاته* *MARI KITA AWALI PAGI INI DENGAN DZIKIR DI W...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kupu...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza ada ya usajili wa pikipiki za biashara kutok...
*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJET...
*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJETI 2025/26.* Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu L...
MEKANISME SELEKSI CALON GURU SEKOLAH RAKYAT
Sahabat PPG! Informasi terkait *Pembukaan Seleksi PPPK JF Guru untuk Sekolah Rakyat (SR)* saat ini s...