Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #mtoa
Posts
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Un...
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Unatumia 1XBET? Basi fahamu hili: ROMANO PAY ndiye m...
Located just off the main road, before the #Hwange...
Located just off the main road, before the #Hwange National Park entrance, #Gobelo Mtoa offers the p...
‼️ Mambo 4 Muhimu ya Kufanya Kabla ya Kushiriki kw...
‼️ Mambo 4 Muhimu ya Kufanya Kabla ya Kushiriki kwenye Tamasha la QNET V-Malaysia 2025 ⬇️ ✅ 1. KYC ...
GIFT City To Continue Getting Green Power For Short-Term
The Gujarat Electricity Regulatory Commission (GERC) has approved a petition filed by GIFT Power Com...
*PAZIA LA FILAMU* 📽🎬 *`IO CAPITANO`* (2023) ...
*PAZIA LA FILAMU* 📽🎬 *`IO CAPITANO`* (2023) Ni kweli kuwa njia ya kuyafikia malengo na kuzitim...
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Un...
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Unatumia 1XBET? Basi fahamu hili: ROMANO PAY ndiye m...
*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJET...
*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJETI 2025/26.* Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu L...
APOTHEKER YAONGEZA NGUVU KATIKA TEHAMA YA WIZARA Y...
APOTHEKER YAONGEZA NGUVU KATIKA TEHAMA YA WIZARA YA AFYA Na, WAF-Dodoma Wizara ya Afya imepokea vif...
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) K...
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kaskazini Mhandisi Francis Mihayo pamoja n...
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Un...
👑 ROMANO PAY – MFALME WA MIAMALA YA 1XBET! 💳 Unatumia 1XBET? Basi fahamu hili: ROMANO PAY ndiye m...
Bank of Tanzania (BoT) on Instagram: "BENKI KUU: WATALII KURUHUSIWA KULIPA KWA FEDHA ZA KIGENI Benki Kuu ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025, ikieleza kuwa malipo ya bidhaa na huduma kati ya wakaazi na wageni, wakiwemo watalii, yanaweza kufanyika kwa kutumia fedha za kigeni. Akizungumza katika mjadala uliofanyika kwenye Maonesho ya Karibu-Kilifair jijini Arusha tarehe 8 Juni 2025, Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Akaro, alifafanua kuwa hatua hiyo inalenga kuwezesha mazingira rafiki ya kibiashara kwa wageni na urahisi wa miamala katika sekta ya utalii. “Mawakala wa utalii ambao ni wakaazi, wanaruhusiwa kutumia fedha za kigeni kulipia huduma mbalimbali zinazotolewa kwa watalii kutoka nje ya nchi,”alisema. Alisisitiza kuwa malipo yote kati ya wakaazi lazima yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania, na ni kosa kwa mtoa huduma yeyote kukataa malipo yanayofanyika kwa kutumia Shilingi ya Tanzania. Bw. Akaro aliongeza kuwa Kanuni hizi zimetungwa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006, na zimeanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 28 Machi 2025. “Tangu kuanza kutumika kwa kanuni hizo, kumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuongezeka kwa ukwasi wa fedha za kigeni. Kwa mfano, miamala ya Dola za Marekani kwenye soko la fedha za kigeni la rejareja nchini imeongezeka kutoka wastani wa dola milioni 40 hadi milioni 69 kwa siku”, alisema. Vilevile, alibainisha kuwa, kutokana na kuongezeka kwa ukwasi wa fedha za kigeni, thamani ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani imeimarika kwa kiwango kikubwa, na matarajio ni kwamba itaendelea kuimarika zaidi. “Hii ni kutokana na kuanza kwa msimu wa mapato ya fedha za kigeni, hususan kutoka kwenye sekta kama utalii, kilimo na mauzo ya bidhaa nje ya nchi, ambazo kwa kawaida huingiza fedha nyingi za kigeni katika kipindi hiki,”alisema. Benki Kuu ya Tanzania inaendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu utekelezaji wa kanuni hizi, ili kuhakikisha kwamba zinazingatiwa kwa manufaa ya uchumi wa taifa na ustawi wa sekta za kibiashara, hasa utalii."
BENKI KUU: WATALII KURUHUSIWA KULIPA KWA FEDHA ZA KIGENI Benki Kuu ya Tanzania imetoa ufafanuzi ku...
🔐 PRIVATE BROWSER & VPN: Je, unavitumia kwa usahi...
🔐 PRIVATE BROWSER & VPN: Je, unavitumia kwa usahihi? 🌐🕵️♂️ Katika ulimwengu wa kidigitali, farag...