Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #tcaatrainingfund

Posts

Aviation Tanzania on Instagram: "Katika mahojiano na katibu wa Mfuko wa Mafunzo chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bi. Massa Mubuli, ameeleza gharama zilizotumika katika ufadhili wa masomo ya urubani na uhandisi wa ndege kwa kila mnufaika, ambapo imeelezwa kuwa, kila rubani aligharamiwa shilingi milioni 200 za Kitanzania hadi kukamilisha masomo, na kwa upande wa wahandisi kila mmoja aligharamiwa Shilingi milioni 70. Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu. . #aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGOck6YNI-q/?igsh=MW1ocnE4dnFveW95MA== Katika mahojiano na katibu wa...

Aviation Tanzania on Instagram: "Katibu wa Mfuko wa Mafunzo chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bi. Massa Mubuli, amebainisha utaratibu wa urejeshaji wa gharama za ufadhili kwa wanufaika wa masomo ya urubani na uhandisi. Amesema kuwa baada ya kumaliza masomo, mnufaika atatakiwa kulipa gharama hizo kwa awamu atakapo ajiriwa,na fedha zinazorejeshwa huingizwa tena kwenye Mfuko wa Mafunzo wa TCAA ili kusaidia vijana wengine kupata ufadhili wa masomo. Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu. . #aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGK5jV6tJDs/?igsh=MTNtMGE3MjJrMThvNQ== Katibu wa Mfuko wa Mafunzo c...

Aviation Tanzania on Instagram: "Katika mahojiano maalum na Bi. Massa Mumburi, Katibu wa TCAA Training Fund, ameweka wazi kuwa mfuko huo umefadhili masomo ya urubani na uhandisi wa ndege kwa vijana 23 wa Kitanzania hadi sasa.Huku akiongeza kuwa fursa nyingine za ufadhili zitaendelea kutangazwa kadri mfuko utakavyoingiza pesa. Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu. . #aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGBZsPgNrc4/?igsh=MWZ5OTVyd3dod3V4 Katika mahojiano maalum na Bi. Ma...