
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 13, 2025 at 05:52 PM
https://www.instagram.com/reel/DGBZsPgNrc4/?igsh=MWZ5OTVyd3dod3V4
Katika mahojiano maalum na Bi. Massa Mumburi, Katibu wa TCAA Training Fund, ameweka wazi kuwa mfuko huo umefadhili masomo ya urubani na uhandisi wa ndege kwa vijana 23 wa Kitanzania hadi sasa.Huku akiongeza kuwa fursa nyingine za ufadhili zitaendelea kutangazwa kadri mfuko utakavyoingiza pesa.
Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu.
.
#aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈