Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 18, 2025 at 07:28 PM
https://www.instagram.com/reel/DGOck6YNI-q/?igsh=MW1ocnE4dnFveW95MA== Katika mahojiano na katibu wa Mfuko wa Mafunzo chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bi. Massa Mubuli, ameeleza gharama zilizotumika katika ufadhili wa masomo ya urubani na uhandisi wa ndege kwa kila mnufaika, ambapo imeelezwa kuwa, kila rubani aligharamiwa shilingi milioni 200 za Kitanzania hadi kukamilisha masomo, na kwa upande wa wahandisi kila mmoja aligharamiwa Shilingi milioni 70. Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu. . #aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania

Comments