
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 17, 2025 at 10:36 AM
https://www.instagram.com/reel/DGK5jV6tJDs/?igsh=MTNtMGE3MjJrMThvNQ==
Katibu wa Mfuko wa Mafunzo chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bi. Massa Mubuli, amebainisha utaratibu wa urejeshaji wa gharama za ufadhili kwa wanufaika wa masomo ya urubani na uhandisi.
Amesema kuwa baada ya kumaliza masomo, mnufaika atatakiwa kulipa gharama hizo kwa awamu atakapo ajiriwa,na fedha zinazorejeshwa huingizwa tena kwenye Mfuko wa Mafunzo wa TCAA ili kusaidia vijana wengine kupata ufadhili wa masomo.
Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu.
.
#aviationcareer #tcaatrainingfund #scholarship #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈