Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #uturuki

Posts

Kenya imewahamisha wanadiplomasia wake kutoka Tel ...

Kenya imewahamisha wanadiplomasia wake kutoka Tel Aviv na Tehran kufuatia mashambulizi karibu na uba...

LEO JUNI 20, MTAKATIFU ADALBERTI WA MAGDEBURG, ASK...

LEO JUNI 20, MTAKATIFU ADALBERTI WA MAGDEBURG, ASKOFU (981) Mtakatifu Olga binti wa Mfalme wa Urusi...

Aviation Tanzania on Instagram: "Wakati abiria wengi wanaotumia usafiri wa anga hutumia siti moja pekee kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine, hii ni tofauti kwa Rumeysa Gelgi, raia wa Uturuki ambaye anavunja rekodi ya dunia (Guinness World Records) kwa kuwa mwanamke mrefu zaidi duniani. Rumeysa Gelgi, ambaye ana urefu wa futi 7 na inchi 0.7 (sawa na mita 2.15), amefichua kuwa kila anaposafiri kwa ndege hulazimika kulipia siti sita kutokana na hali yake ya kiafya inayomlazimu kulala kwenye machela wakati wote wa safari. Gelgi, ambaye anaishi katika jimbo la Karabük, kaskazini mwa Uturuki, anasumbuliwa na ugonjwa nadra unaojulikana kama Weaver syndrome, hali inayosababisha ukuaji wa haraka wa mwili pamoja na changamoto nyingine za kiafya. Kwa sababu ya urefu wake wa kipekee, amekuwa akitegemea kiti cha magurudumu. Kwa miaka mingi, alikuwa hawezi kabisa kusafiri kwa ndege kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kutosha. Lakini kupitia Shirika la Ndege la Turkish Airlines, sasa anaweza kusafiri kimataifa baada ya shirika hilo kuondoa siti sita katika ndege moja na kuweka machela maalum kwa ajili yake. Safari yake ya kwanza ya anga ilifanyika mwezi Septemba mwaka 2022 kutoka San Francisco hadi Istanbul. Aliielezea safari hiyo kama “safari kamili na isiyo na dosari.” Tangu wakati huo, Rumeysa amekuwa akisafiri angalau mara moja kila mwaka, lakini ni kwa kutumia shirika lake la taifa pekee, ambalo lina uwezo wa kutoa huduma hiyo maalum. Licha ya kuwa tayari ametembelea mataifa kama Marekani, Uingereza, Hispania na Italia, kila safari huambatana na maandalizi makubwa na gharama kubwa. Mbali na kulipia nafasi ya machela ambayo ni sawa na siti sita za abiria wengine, anahitajika kufika uwanja wa ndege saa nne kabla ya muda wa safari kwa ajili ya kukutana na wataalamu wa afya na maandalizi mengine ya usalama. Hadi sasa, hajawahi kusafiri kwa basi au treni, lakini ana matumaini ya kufanya hivyo katika miezi ijayo. Katika mahojiano na Luxury Travel Daily, Rumeysa alieleza jinsi anavyoumizwa na hali ya kushindwa kutembelea maeneo yenye historia ya kuvutia kutokana na ukosefu wa njia salama. Kutokana na uwepo wa vyuma vya msaada mgongoni mwake, hata kuanguka kidogo inaweza kuwa hatari kubwa kwake."

https://www.instagram.com/reel/DKwGwSJNs21/?igsh=MzhvcnNoMzhmOHpp *Mwanamke mrefu zaidi duniani hul...

*WAZIRI MKUU:SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 43 ...

*WAZIRI MKUU:SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 43 KUIMARISHA MICHEZO SHULENI* _▪️Azindua mashindano...

Aviation Tanzania on Instagram: "Abiria atakayeinuka kabla ya ndege kusimama atatozwa faini ya Dola 70. Mamlaka ya usafiri wa anga ya Uturuki imeweka sheria mpya inayowataka abiria wote kubaki wamekaa hadi ndege itakapokuwa imesimama kikamilifu kwenye eneo la kupaki,na Kwa abiria atakayekiuka sheria hiyo atatozwa faini ya dola 70 za Kimarekani. Sheria hiyo inalenga kukomesha tabia ya abiria kuamka mapema na kuanza kupanga foleni kwenye korido mara tu ndege inapotua, kabla hata ya ndege kufika kwenye kituo cha kupaki. Mamlaka hiyo inasema hatua hiyo inalenga kuimarisha usalama wa wasafiri na wafanyakazi wa ndege, na tayari mashirika ya ndege yameelekezwa kutoa maelekezo ya wazi kwa abiria kuhusu kutii agizo hilo. Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la habari la DPA kutoka Ujerumani, mashirika ya ndege yamepewa jukumu la kuwakumbusha abiria kufunga mikanda wakati wote wa kutua hadi ndege itakapopaki, na kwamba yeyote atakayekiuka agizo hilo ataripotiwa katika mamlaka na kutozwa faini. Abiria wengi wamekuwa wakionekana wakifungua mikanda yao mara tu ndege inapotua na kuamka kuelekea mlangoni kwa lengo la kuwa wa kwanza kushuka au kuchukua mizigo yao, jambo linaloonekana kuhatarisha usalama na kuvuruga taratibu za kushuka kwa mpangilio. Turkish Airlines, shirika la taifa la Uturuki ambalo linatoa huduma ya usafiri katika nchi zaidi ya 130, tayari limeanza kutekeleza sheria hiyo. Mashirika mengine ya kimataifa kama Emirates na Qatar Airways yanaripotiwa pia kuzingatia kuanzisha utaratibu huo. #airline #turkishairlines #airlinepassengers #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKIC32nsera/?igsh=NHp6N2dlMnJmaWs3 *Abiria atakayeinuka kabla ya ndege ...

LETS PROCEED 🤣🤗 Hebu tuchambue vizuri historia ...

LETS PROCEED 🤣🤗 Hebu tuchambue vizuri historia ya kalenda ya Julian na Gregorian, pamoja na jinsi...

*WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAIMARISHA USHIRIKI...

*WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAIMARISHA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KUINUA UTALII NA UWEKEZAJI* ...

Mourinho apigwa rungu Uturuki

*Mourinho apigwa rungu Uturuki* Soma zaidi https://mwanaspoti.co.tz/ms/spoti-majuu/mourinho-apigwa...

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Uturuki (TFF) ...

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Uturuki (TFF) limemfungia michezo minne na faini zaidi ya Euro 4...

Didier Drogba amtetea Mourinho Uturuki

*Didier Drogba amtetea Mourinho Uturuki* Soma zaidi https://mwanaspoti.co.tz/ms/spoti-majuu/didier...

Didier Drogba amtetea Mourinho Uturuki

*Didier Drogba amtetea Mourinho Uturuki* Soma zaidi https://www.mwanaspoti.co.tz/ms/spoti-majuu/di...

Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekez...

Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imefanikiwa kusajili jumla ya ...