Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 27, 2025 at 05:31 PM
https://www.instagram.com/p/DGlavu7tDE3/?igsh=YmY0MHN3aHluYWpx Tazama picha ya Uwanja wa Ndege wa Iringa ulivyokuwa ukionekana katika miaka ya 1960, na namna unavyoonekana kwa sasa. Uwanja huo kwa sasa umeboreshwa kwa 93% na tayari umeanza kupokea ndege za mashirika mbalimbali, zikiwemo ndege za shirika la ndege la Air Tanzania. Maboresho ya uwanja huo yamejumuisha ujenzi wa njia ya kuruka na kutua ndege (Runway) yenye urefu wa mita 2,100 na upana wa mita 30, mnara wa kuongozea ndege, barabara ya maungio (taxiway), maegesho ya ndege, taa za kuongozea ndege, na jengo la muda la abiria.Maboresho hayo kwa ujumla yamegharimu kiasi cha shilingi bilioni 63.74. . #airport #aviationtanzania #iringaairport #avgeek #tanzaniaairport #tanzaniaairportsauthority #tanzania🇹🇿 #aviationtanzaniaupdates #aviata

Comments