Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 8, 2025 at 06:20 PM
https://www.instagram.com/p/DKpi1j-NKaw/?igsh=aG9xMzlzemFzN2R1 Aviation Tanzania Network, tumepata fursa ya kutembelea katika maonyesho ya Karibu Kilifair 2025 jijini Arusha, tukiangazia zaidi ushiriki wa watoaji wa huduma ya usafiri wa anga katika maonyesho hayo ambayo yamehitimishwa hii Leo Juni 8,2025. Maonyesho haya yaliyoanza Juni 6,2025 yamefanyika Kwa Lengo la kukuza zaidi sekta ya utalii na biashara yakihudhuriwa na zaidi ya kampuni 500 toka nchi mbalimbali Africa Mashariki. @flightlinktz @precisionairtz @flyboskies #kilifair #kilifair2025 #exhibition #airlines #aviationtanzania#aviatamedia

Comments