Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #hata

Channels

My Honest Reaction.

Frases divertidas y reflexiones Videos de humor y entretenimiento Memes y stic...

168.2K subscribers View

STICKERS 🌟.

*LOS MEJORES STICKERS* *Meta: 130K🫩* NO TE EQUIVOQUES! Frases divertidas...

121.2K subscribers View

🕸🕷HORROR STORIES🕷. HISTORIAS DE TERROR 🕸PELIS Y VÍDEOS DE TERROR 🎃 STICKERS, MEMES Y FRASES KDRAMAS

🕸️canal de terror videos etc🕸️ "*Únete a nuestra comunidad! Encontrarás conte...

79.7K subscribers View

Internet Exploret 𝗦𝗼𝗺𝗼𝘀 𝗷𝗼́𝘃𝗲𝗻𝗲𝘀, 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲,𝗺𝗲 𝗰𝗼𝗿𝗲

💎. Frases divertidas y reflexiones Videos de humor y entretenimiento Memes y...

64.4K subscribers View

TEAM GATCHURR@S🐱💘♾️

CON MIS GATCHURR@S HATA EL INFINITO Y MÁS ALLÁ LOS AMOOO💖🐱♾️‼️

41.9K subscribers View

🎀 𝗚꯭𝗜𝗢 𝗧𝗜𝗣𝗦 𝗔𝗡𝗗 𝗦𝗧𝗜𝗖𝗞𝗘𝗥𝗦 🖖🏻 GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP GLOW UP

*CANALSITO DEDICADO A BRINDARTE TIPS* 🎀 👇🏻 VIDEOS, FRASES, AUDIOS, MEMES,...

34.4K subscribers View

꒰ㅤ🐻ㅤ𝗚𝗹𝗼𝘄ㅤ𝗨𝗽ㅤ𝗪𝗶𝘁𝗵ㅤ𝗪𝗶𝗻𝗶𝗶

META : 33.6K 👇🏻 VIDEOS, FRASES, AUDIOS, MEMES, MUSICA, PERÚ STICKERS 1MILL...

33.6K subscribers View

Official Capital Protection Plan

Kanal hii ni ya mpango wa uwekezaji wa timu. Wanachama wote wa timu wanatakiwa k...

15.9K subscribers View

Sunny Arya (Tehelka Bhai)

Hello Tehelka Pariwaar, ※ Hum yahan *Tehelka Trust* mein apne recent saare kiye...

3.5K subscribers View

S S International School hariharganj 121 j nappi ka hata fatehpur u.p

11 subscribers View

Posts

Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege ya British Airways, Boeing 787-8 Dreamliner, yapata hitilafu ya kiufundi ikiwa njiani kuelekea India. Ndege ya abiria ya British Airways aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyokuwa ikielekea Chennai, India, siku ya Jana Juni 15,2025 ililazimika kurejea Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London baada ya kukumbwa na hitilafu ya kiufundi ikiwa angani. Ndege hiyo iliyokuwa ikifanya safari namba BA35, ilipaswa kuondoka Heathrow saa 6:40 mchana lakini ilichelewa na kuondoka saa 7:16 mchana (kwa saa za Uingereza) na Ilitarajiwa kufika Chennai saa 9:30 alfajiri (kwa saa za India). Kwa mujibu wa tovuti ya ufuatiliaji wa safari za ndege, Flightradar24, ndege hiyo ilibaki angani kwa karibu masaa mawili kabla ya kurejea salama Heathrow. Ingawa idadi kamili ya abiria waliokuwemo ndani ya ndege haijajulikana rasmi, video kadhaa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha kuwa ndege hiyo ilikumbwa na tatizo kwenye moja ya sehemu za mabawa (flaps), hali iliyosababisha kurudi kwa dharura. Flightradar24 pia ilionesha kuwa ndege hiyo ilizunguka mara kadhaa angani kabla ya kutua. Katika taarifa iliyotolewa baadaye, British Airways ilithibitisha kuwa ndege hiyo ilitua salama na abiria wote pamoja na wafanyakazi walishuka salama bila matatizo yoyote. Hata hivyo, shirika hilo halikutoa maelezo ya kina kuhusu saa kamili ya kuondoka, muda halisi wa kuwa angani, au idadi ya watu waliokuwemo ndani. Tukio hili limetokea siku chache tu baada ya ajali mbaya ya ndege ya Air India Dreamliner huko Ahmedabad, India, ambapo watu 241 walifariki dunia tukio ambalo limezua taharuki kubwa kuhusu usalama wa ndege aina ya Dreamliner. Chanzo: First post #flightdiversion #boeing787dreamliner #britishairways✈️ #airindia #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DK9MA9rtTap/?igsh=MXRkM2gzeDVsMnl3ZQ== *Ndege ya British Airways, Boein...

Aviation Tanzania on Instagram: "Shehena ya simu 1000 zilizoibiwa yakamatwa uwanja wa ndege zikipelekwa Afrika kaskazini. Polisi nchini Uingereza wamekamata shehena ya simu 1,000 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Heathrow, ikiwa ni sehemu ya oparesheni kubwa dhidi ya mitandao ya kihalifu inayojihusisha na wizi wa simu jijini London. Taarifa hiyo ilitolewa na Jeshi la Polisi la Jiji la London (Met Police) juni 3 mwaka huu, wakati wa kutoa ushahidi mbele ya Bunge la Uingereza kuhusu ongezeko la wizi wa simu katika mji huo mkuu, ambapo takribani simu 80,000 ziliripotiwa kuibwa katika mwaka 2024 pekee. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Teknolojia na Takwimu za Kidijitali wa Met, Darren Scates, takwimu zinaonesha kuwa karibu asilimia 75 ya simu zinazoporwa huishia kupelekwa nje ya nchi, huku asilimia kubwa kati ya hizo zikipelekwa nchini Algeria na China/Hong Kong. Alifafanua kuwa Algeria na China kwa sasa ndio maeneo yanayopokea kwa kiwango kikubwa simu hizo. Alieleza kuwa miongoni mwa mafanikio ya hivi karibuni ni kukamatwa kwa zaidi ya simu 1,000 zilizoibwa katika Uwanja wa Heathrow, ambazo zilikuwa zikielekea Afrika Kaskazini. Hata hivyo, polisi hawakutaja tarehe halisi ya tukio hilo, wakieleza kuwa limefanyika miezi kadhaa iliyopita na uchunguzi bado unaendelea. Scates alisema kuwa utafiti uliofanywa unaonesha kuwa asilimia 80 ya simu zilizoibwa ni aina ya iPhone, na kila moja huwa na thamani ya mtaani ya kati ya paundi 300 hadi 400 Kwa ujumla, thamani ya simu zote zilizoibwa inakadiriwa kufikia paundi milioni 20. #airport #londonheathrowairport #airportinvestigation #northafrica #smartphones #aviationupdate #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzanianews"

https://www.instagram.com/p/DK6ZyrXtyoO/?igsh=MXA2aXVhcGwxYmU3MA== *Shehena ya simu 1000 zilizoibiw...

👇Regresyon Terapisti Dolores Cannon ile Söyleşi: ...

👇Regresyon Terapisti Dolores Cannon ile Söyleşi: “EVREN TARİHİNİN EN ÖNEMLİ DÖNEMİNDE YAŞIYORUZ” D...

🍑 *MAXIE* 💦 SEASON 3 Episode 7 & 8 Ilikuwa mas...

🍑 *MAXIE* 💦 SEASON 3 Episode 7 & 8 Ilikuwa masaa Tisa hapo najaribu kurizz class rep manze hiyo ...

WATUMISHI SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUVUKA MALENGO K...

WATUMISHI SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUVUKA MALENGO KIUTENDAJI Na WAF - MOROGORO Waganga wakuu wa mik...

*Hello* _champions_ 👋🏽 *Wadau mitego yetu jan...

*Hello* _champions_ 👋🏽 *Wadau mitego yetu jana* kwa muhindi ilifanikiwa kwa asilimia 91% aliing...

HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA HUKO KWENU Awamu hii m...

HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA HUKO KWENU Awamu hii mnatoka vipi? 🤣🤣🤣🤣 ‼️ KWA HESHIMA ‼️ Kuna k...

Kuna wakina mimi ambao hata mkitukosea tunasema ha...

Kuna wakina mimi ambao hata mkitukosea tunasema hamna shida niko sawa , ili tu safari iendelee ila f...

Mshairi Louis de Bernières aliwahi kusema, "hakuna...

Mshairi Louis de Bernières aliwahi kusema, "hakuna mwanaume aliye mwanaume mpaka pale atakapokuwa mw...

whatsapp.com

Rhapsody Kenyan-Swahili Sat Jun 14 2025 NGUVU YA MAONO NA MAWAZO Yakobo akatwaa vijiti vya mlubna...

whatsapp.com

Rhapsody Swahili Sat Jun 14 2025 NGUVU YA MAONO NA KUFIKIRI KWA PICHA Yakobo akatwaa fito za mlub...

whatsapp.com

Rhapsody Swahili Congo Sat Jun 14 2025 NGUVU YA MAONO NA MAWAZO Yakobo akatwaa fito za mlubna, na...