Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #tamisemi
Posts
WAJUMBE TAC WATAKA KLABU ZA AFYA, LISHE SHULENI K...
WAJUMBE TAC WATAKA KLABU ZA AFYA, LISHE SHULENI KUIMARISHWA Na WAF, Morogoro Wajumbe wa Kikao ch...
*MAJALIWA AAGIZA USIMAMIAJI NA UDHIBITI WA UBORA W...
*MAJALIWA AAGIZA USIMAMIAJI NA UDHIBITI WA UBORA WA ELIMU* _▪️Asema lengo ni kuendelea kutoa wahiti...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Yusufu Nzowa...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Yusufu Nzowa amesema amepokea barua inayoelekeza Madiwani wote...
SERIKALI YAENDELEA KUI MARISHA HUDUMA ZA AFYA NGAZ...
SERIKALI YAENDELEA KUI MARISHA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII Na WAF Tanga Serikali kupitia Wiz...
⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAM...
⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Na WAF, Lindi ...
*MAPINDUZI YA UNUNUZI WA UMMA KIDIJITALI* Taasisi...
*MAPINDUZI YA UNUNUZI WA UMMA KIDIJITALI* Taasisi nunuzi zote nchini zimeelekezwa kufanya kazi kwa ...
AjiraCoach inakukumbusha kama umesahau😁 *TUTORIAL...
AjiraCoach inakukumbusha kama umesahau😁 *TUTORIAL ASSISTANT* ni *DEGREE* na Taasisi za elimu zinata...
SERIKALI, GATES FOUNDATION KUIMARISHA USHIRIKIANO ...
SERIKALI, GATES FOUNDATION KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA AFYA Serikali itaendelea kushirikiana...
SINGIDA: Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai ba...
SINGIDA: Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai baadhi ya Maafisa Utumishi na Ofisi ya Mkurugenzi ya...
TAMISEMI Form Five Selection 2025/2026
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano 2025/2026 https://www.fursa.work/2025/06/tamisemi...
TBC DIGITAL on Instagram: "Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu. Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalumu, Maimuna Ahmad Pathan aliyetaka kujua ni lini Serikali itajenga uzio kwa shule zilizopo maeneo hatarishi kwa kuwa shule nyingi za Mkoa wa Lindi hazina uzio. Katimba ameongeza kuwa kwa mwaka 2022/2023 hadi 2023/2024 Serikali imetoa shilingi bilioni 5.57 kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule 185 za watoto wenye mahitaji maalumu ikiwemo shule ya msingi Namakonde iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Aidha, amesema shilingi milioni 105.57 zimetumika kujenga uzio katika shule za sekondari Lindi Wasichana na Nachingwea Wasichana ambapo Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaendelea kutenga fedha za ujenzi wa uzio kwa ajili ya usalama wa wanafunzi na mali za shule kadiri ya upatikanaji wa fedha. 📸✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates"
*Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika sh...
*WAZIRI MKUU:SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 43 ...
*WAZIRI MKUU:SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 43 KUIMARISHA MICHEZO SHULENI* _▪️Azindua mashindano...