Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 3, 2025 at 08:08 PM
https://www.instagram.com/reel/DKcxgLJM668/?igsh=OGNvaHZ3a2VqYzJk Tazama moja ya matukio ya kusisimua zaidi katika historia ya filamu, ambapo nyota wa filamu ya Mission Impossible anaonekana akiruka kutoka kwenye ndege moja hadi nyingine akiwa angani. Kwa kawaida, waandaaji wa filamu hutumia teknolojia ya kompyuta (CGI) kuonesha uhalisia wa matukio kama haya, lakini katika filamu hii, tukio hilo limetekelezwa kwa uhalisia. Mission: Impossible – The Final Reckoning (2025) ni sehemu ya nane na ya mwisho katika mfululizo wa filamu za Mission: Impossible, iliyoongozwa na Christopher McQuarrie na kumshirikisha nyota huyo, Tom Cruise, kama Ethan Hunt. Filamu hii ilizinduliwa rasmi katika Tamasha la Filamu la Cannes tarehe 14 Mei 2025, na ilianza kuonyeshwa katika sinema duniani kote kuanzia tarehe 23 Mei. #filmmaking #missionimpossible #cgi #aviationenthusiast #aviationtanzania#aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates

Comments