Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 12, 2025 at 10:33 AM
https://www.instagram.com/reel/DKzCX1rN81f/?igsh=MXR0Mjh4a3phcjlkbA== *Ndege ya Air India yenye abiria 230+ yapata ajali* Ndege ya Air India aina ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye namba ya usajili (VT-ANB) iliyokuwa ikielekea London Gatwick imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Ahmedabad, nchini India. Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari namba AI171, ikiwa na abiria 230 na wahudumu 12. Kwa sasa zoezi la Uokoaji wa manusura wa ajali hiyo linaendelea likifuatiwa na zoezi uchunguzi. Chanzo: @samchui #planecrash #airline #airindia #boeing787dreamliner #aviationtanzania#aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates

Comments