Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 13, 2025 at 06:09 AM
https://www.instagram.com/reel/DKzuwGFNhbb/?igsh=MXFpNmgydWtyMXJnaA== Katika Mkutano wa Kimaendeleo ya sekta ya anga,Aviadev ,Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la ndege la @airtanzania_atcl Mhandisi Peter Ulanga ameeleza mipango ya hivi karibuni ya shirika hilo ikiwemo kuanzisha safari katika visiwa vya Pemba. #airline #airtanzania #routeexpansion #newaircraft #airtanzania_atcl #aviation #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania

Comments