Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #afrika

Posts

Ni nani kiongozi wa Kidini wa Iran, Ayatollah Ali ...

Ni nani kiongozi wa Kidini wa Iran, Ayatollah Ali Khamanei, mwenye Kauli na amri ya mwisho kwenye nc...

*FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI-MAJALIWA* ...

*FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI-MAJALIWA*   _▪️Ataka matokeo ya tafiti hizo yatumike badala ...

*DEVELOPING STORY: Greenfuel sources confirm match...

*DEVELOPING STORY: Greenfuel sources confirm match fixing attempt, name players involved* SOURCES w...

Akwai nau'ikan yalo a sassa daban-daban na Afrika ...

Akwai nau'ikan yalo a sassa daban-daban na Afrika da sauran yankuna, daga cikin muhimman nau'ikan ku...

*WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA MISHENI MAALUM ...

*WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA MISHENI MAALUM YA KUTATHMINI MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU* _▪️Wa...

💧 Bir damla umutla başlattığımız yolculuk, hayatl...

💧 Bir damla umutla başlattığımız yolculuk, hayatlara can olmaya devam ediyor. 📍Kamerun 📍Afganist...

📍Çad / Su Kuyusu Açılışı Bağışlarınız sayesinde,...

📍Çad / Su Kuyusu Açılışı Bağışlarınız sayesinde, susuzlukla mücadele eden yüzlerce kardeşimiz artı...

Heute in 1 Woche sind Missionare aus Tansania bei ...

Heute in 1 Woche sind Missionare aus Tansania bei uns zu Gast im Gebetsabend 🇹🇿🙏 Johnny & Annika ...

Bonjour, *Harya uyumugabo ntabwo yibazako USA ar...

Bonjour, *Harya uyumugabo ntabwo yibazako USA ari Paradiso twahanuriwe muri Bible(Ijuru)??* Iyo...

’n Suid-Amerikaner wat verlede maand ’n kleinseunt...

’n Suid-Amerikaner wat verlede maand ’n kleinseuntjie-droom bewaarheid het toe hy in Suid-Afrika kom...

*_This Anthem is like a prayer for all Africans Co...

*_This Anthem is like a prayer for all Africans Country_* NKOSI SIKELELA AFRIKA,......

Aviation Tanzania on Instagram: "Shehena ya simu 1000 zilizoibiwa yakamatwa uwanja wa ndege zikipelekwa Afrika kaskazini. Polisi nchini Uingereza wamekamata shehena ya simu 1,000 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Heathrow, ikiwa ni sehemu ya oparesheni kubwa dhidi ya mitandao ya kihalifu inayojihusisha na wizi wa simu jijini London. Taarifa hiyo ilitolewa na Jeshi la Polisi la Jiji la London (Met Police) juni 3 mwaka huu, wakati wa kutoa ushahidi mbele ya Bunge la Uingereza kuhusu ongezeko la wizi wa simu katika mji huo mkuu, ambapo takribani simu 80,000 ziliripotiwa kuibwa katika mwaka 2024 pekee. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Teknolojia na Takwimu za Kidijitali wa Met, Darren Scates, takwimu zinaonesha kuwa karibu asilimia 75 ya simu zinazoporwa huishia kupelekwa nje ya nchi, huku asilimia kubwa kati ya hizo zikipelekwa nchini Algeria na China/Hong Kong. Alifafanua kuwa Algeria na China kwa sasa ndio maeneo yanayopokea kwa kiwango kikubwa simu hizo. Alieleza kuwa miongoni mwa mafanikio ya hivi karibuni ni kukamatwa kwa zaidi ya simu 1,000 zilizoibwa katika Uwanja wa Heathrow, ambazo zilikuwa zikielekea Afrika Kaskazini. Hata hivyo, polisi hawakutaja tarehe halisi ya tukio hilo, wakieleza kuwa limefanyika miezi kadhaa iliyopita na uchunguzi bado unaendelea. Scates alisema kuwa utafiti uliofanywa unaonesha kuwa asilimia 80 ya simu zilizoibwa ni aina ya iPhone, na kila moja huwa na thamani ya mtaani ya kati ya paundi 300 hadi 400 Kwa ujumla, thamani ya simu zote zilizoibwa inakadiriwa kufikia paundi milioni 20. #airport #londonheathrowairport #airportinvestigation #northafrica #smartphones #aviationupdate #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzanianews"

https://www.instagram.com/p/DK6ZyrXtyoO/?igsh=MXA2aXVhcGwxYmU3MA== *Shehena ya simu 1000 zilizoibiw...