Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #cabincrew

Posts

Qatar Airways Internship Programmes 2026 - Reign Gigs

Qatar Airways Internship Programmes 2026 🚨 https://reigngigs.com/qatar-airways-internship-programme...

Aviation Tanzania on Instagram: "Precision Air yatangaza kuanza muhula mpya wa mafunzo ya uhudumu wa ndege mwezi Juni. Shirika la ndege la @precisionairtz limetangaza kuanza rasmi muhula mpya wa kozi za wahudumu wa ndege (Cabin Crew) kuanzia Juni 16, 2025, ikiwa ni baada ya awamu ya 13 ya wahudumu wa ndege kuhitimu masomo yao Mei 30, 2025. Wahudumu waliohitimu wamepitia mafunzo ya kina yaliyowajengea uwezo katika maeneo mbalimbali kama vile taratibu za usalama wa abiria, huduma kwa wateja, mawasiliano bora na ujuzi mwingine muhimu unaowasaidia kuwa tayari kwa soko la ajira ndani na nje ya nchi. Kwa taarifa zaidi juu ya namna ya kujiunga na mafunzo haya, tembelea tovuti yao [www.precisionairtz.com](http://www.precisionairtz.com) au piga simu kupitia namba 0787 006 766. #cabincrew #airline #precisionair #pw #youarewhywefly #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKTsdF4MpAj/?igsh=aGtnajExZmprNGZs *Precision Air yatangaza kuanza muhu...

Saudi Airlines Is Hiring – Take Your Career to New...

Saudi Airlines Is Hiring – Take Your Career to New Heights with SAUDIA! Ready to soar to new caree...

https://cabincrew-riyadhair.icims.com/jobs/2344/ca...

https://cabincrew-riyadhair.icims.com/jobs/2344/cabin-crew-recruitment-event-%7c-delhi%2c-india/job ...

Aviation Tanzania on Instagram: "Katika safari za ndege, ulevi uliopitiliza kwa abiria unaweza kusababisha changamoto mbalimbali, ikiwemo usumbufu kwa wasafiri wengine na kuhatarisha usalama baadhi ya abiria waliopo ndani ya ndege. @dr.nasranassor, daktari wa wanaanga nchini, ameeleza kuhusu sheria za anga zinazohusu abiria wenye tabia zisizofaa safarini. Amebainisha kuwa abiria mlevi anayesababisha usumbufu na kero kwa wengine haruhusiwi kupanda ndege. Hata hivyo, abiria mwenye kiwango kidogo cha ulevi anaweza kuendelea na safari mradi hatosababisha usumbufu kwa wengine. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGnqo16NENc/?igsh=ZDVsbG15eWo1aDBn Katika safari za ndege, ulevi uli...

Aviation Tanzania on Instagram: "Katika mahojiano na @dr.nasranassor daktari wa wanaanga nchini, ameorodhesha watu wanaozuiliwa kutumia usafiri wa anga kutokana na changamoto za kiafya walizonazo zinazoweza kuhatarisha usalama wa abiria wengine akiwemo mgonjwa mwenye changamoto ya afya ya akili. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGeBWS8tKLd/?igsh=MWh0b2N6eGU4eGxydA== Katika mahojiano na @dr.nasr...

*🔥Apply Now:🔥* https://unstop.com/jobs/cabincrew...

*🔥Apply Now:🔥* https://unstop.com/jobs/cabincrew-air-india-express-1410808?utm_source=WorrifyJobs&...

Aviation Tanzania on Instagram: "Daktari wa wanaanga nchini, @dr.nasranassor , ameeleza utaratibu rasmi kwa abiria mgonjwa anayepanga kusafiri kwa ndege. Alifafanua kuwa abiria hao wanapaswa kujaza fomu maalumu zinazopatikana katika mashirika mbalimbali ya ndege. Fomu hizo huwasaidia wahudumu wa ndege kutoa uangalizi wa karibu kwa mgonjwa katika kipindi chote cha safari yake. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGSkOvFNIj5/?igsh=MWR3aTZ2ejBhNHlvNw== Daktari wa wanaanga nchini, @...

Aviation Tanzania on Instagram: "Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz, @dr.nasranassor, ameeleza kuwa mtu yeyote aliyefanya upasuaji wa plastiki haruhusiwi kusafiri kwa ndege ndani ya siku saba, kwa sababu za usalama wa kiafya. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGQvTcMNmCU/?igsh=MW5mN3V2ODVyc3BlNQ== Daktari wa Wanaanga Tanzania ...

Aviation Tanzania on Instagram: "Je, ni hatari kiasi gani kwa mjamzito kujifungua ndani ya ndege? Kufuatia mfululizo wa matukio ya abiria wajawazito kujifungua ndani ya ndege katika mashirika mbalimbali ya ndege duniani, @dr.nasranassor Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz anaeleza hatari zinazoweza kutokea kwa mama na mtoto wanapojifungua angani. Kwa mujibu wa miongozo ya usafiri wa anga, mama mwenye ujauzito wa chini ya wiki 34 ndiye anayestahili kuruhusiwa kusafiri kwa ndege. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu – Aviation Tanzania, kwa kubonyeza link kwenye bio. #aviationmedicine #birthonboard #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DGDcgkrNdkV/?igsh=MWtoN3VpZzQ1M2tkcA== *Je, ni hatari kiasi gani kw...

Aviation Tanzania on Instagram: "Abiria mjamzito ajifungua ndani ya ndege ya Brussels Airlines muda mfupi baada ya ndege kuanza kupaa. Februari 11, 2025 abiria wa ndege ya @flyingbrussels safari namba SN204 kutokea mji wa Dakar kuelekea mji wa Brussels walishuhudia tukio la kipekee baada ya mama mjamzito kujifungua ndani ya ndege hiyo. Mama huyo, aliyekuwa na ujauzito wa wiki 32, alianza kupata haki ya uchungu wa kujifungua dakika 30 tu baada ya ndege ya Airbus A330 yenye namba ya usajili OO-SFF kupaa. Wahudumu wa ndege walichukua hatua za haraka kwa kumhamishia sehemu ya nyuma ya ndege kwa faragha na kutafuta msaada wa kitabibu. Miongoni mwa abiria walikuwa katika ndege hiyo alikuwa Lore Nachtergaele, muuguzi mwenye umri wa miaka 22 ambaye amehitimu masomo yake hivi karibuni, pamoja na daktari kijana, ambao walijitokeza kusaidia katika zoezi hilo. Licha ya rubani kupanga kurudi katika mji wa Dakar, mtoto alizaliwa kabla ya ndege kutua. Mtoto huyo wa kike, ambaye baadaye aliitwa Fanta, alizaliwa salama bila matatizo yoyote na imeelezwa kuwa mama na mtoto wako waliwasili salama katika mji wa Dakar. . ##birthonboard #cabincrew #a330 #brusselsairlines #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"

https://www.instagram.com/p/DGDUFmIN_eS/?igsh=MXZoYXFudDY5ajh5ZA== *Abiria mjamzito ajifungua ndan...