
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 20, 2025 at 09:51 AM
https://www.instagram.com/reel/DGSkOvFNIj5/?igsh=MWR3aTZ2ejBhNHlvNw==
Daktari wa wanaanga nchini, @dr.nasranassor , ameeleza utaratibu rasmi kwa abiria mgonjwa anayepanga kusafiri kwa ndege. Alifafanua kuwa abiria hao wanapaswa kujaza fomu maalumu zinazopatikana katika mashirika mbalimbali ya ndege. Fomu hizo huwasaidia wahudumu wa ndege kutoa uangalizi wa karibu kwa mgonjwa katika kipindi chote cha safari yake.
Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio.
#aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈