Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 19, 2025 at 04:55 PM
https://www.instagram.com/reel/DGQvTcMNmCU/?igsh=MW5mN3V2ODVyc3BlNQ== Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz, @dr.nasranassor, ameeleza kuwa mtu yeyote aliyefanya upasuaji wa plastiki haruhusiwi kusafiri kwa ndege ndani ya siku saba, kwa sababu za usalama wa kiafya. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania

Comments