
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 28, 2025 at 02:39 PM
https://www.instagram.com/reel/DGnqo16NENc/?igsh=ZDVsbG15eWo1aDBn
Katika safari za ndege, ulevi uliopitiliza kwa abiria unaweza kusababisha changamoto mbalimbali, ikiwemo usumbufu kwa wasafiri wengine na kuhatarisha usalama baadhi ya abiria waliopo ndani ya ndege.
@dr.nasranassor, daktari wa wanaanga nchini, ameeleza kuhusu sheria za anga zinazohusu abiria wenye tabia zisizofaa safarini. Amebainisha kuwa abiria mlevi anayesababisha usumbufu na kero kwa wengine haruhusiwi kupanda ndege. Hata hivyo, abiria mwenye kiwango kidogo cha ulevi anaweza kuendelea na safari mradi hatosababisha usumbufu kwa wengine.
Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio.
#aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈