
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 24, 2025 at 08:40 PM
https://www.instagram.com/reel/DGeBWS8tKLd/?igsh=MWh0b2N6eGU4eGxydA==
Katika mahojiano na @dr.nasranassor daktari wa wanaanga nchini, ameorodhesha watu wanaozuiliwa kutumia usafiri wa anga kutokana na changamoto za kiafya walizonazo zinazoweza kuhatarisha usalama wa abiria wengine akiwemo mgonjwa mwenye changamoto ya afya ya akili.
Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio.
#aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈