Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #ruangwa
Posts
🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 10...
🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalum kuanzia saa 10:00 Jioni, 📻 kupitia Ruangwa FM 88.4 FM, Lindi...
⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAM...
⸻ MIKOA, WILAYA KUENDELEA KUIMARISHWA ILI KUSIMAMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII Na WAF, Lindi ...
TBC DIGITAL on Instagram: "Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu. Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalumu, Maimuna Ahmad Pathan aliyetaka kujua ni lini Serikali itajenga uzio kwa shule zilizopo maeneo hatarishi kwa kuwa shule nyingi za Mkoa wa Lindi hazina uzio. Katimba ameongeza kuwa kwa mwaka 2022/2023 hadi 2023/2024 Serikali imetoa shilingi bilioni 5.57 kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule 185 za watoto wenye mahitaji maalumu ikiwemo shule ya msingi Namakonde iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa. Aidha, amesema shilingi milioni 105.57 zimetumika kujenga uzio katika shule za sekondari Lindi Wasichana na Nachingwea Wasichana ambapo Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaendelea kutenga fedha za ujenzi wa uzio kwa ajili ya usalama wa wanafunzi na mali za shule kadiri ya upatikanaji wa fedha. 📸✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates"
*Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika sh...
🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalumu kuanzia saa 2...
🚨Usikose kufuatilia kipindi Maalumu kuanzia saa 2 asubuhi kupitia RUANGWA FM 88.4 📍Ruangwa 📌Mad...
Pita kulia nipite kushoto tukutane kwa Mkapa, ndio...
Pita kulia nipite kushoto tukutane kwa Mkapa, ndio leo ni Mzizima Derby mchezo utakaopigwa saa 1 usi...
*WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA BI. ASINA OMARI* ...
*WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA BI. ASINA OMARI* WAZIRI MKUU na Mbunge wa Jimbo ya Ruangwa Mheshimi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia Mkurugenzi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Frank Chonya ...
Simba wanaondoka na alama tatu muhimu ugenini kwen...
Simba wanaondoka na alama tatu muhimu ugenini kwenye dimba la Majaliwa kule Ruangwa Lindi, wakifikis...
#NAMUNGOFCLINEUP Kikosi cha Wauaji wa Kusini leo d...
#NAMUNGOFCLINEUP Kikosi cha Wauaji wa Kusini leo dhidi ya Simba Sc kwenye Mchezo wa Ligi kuu ya NBC....
*MAMA SAMIA LEGAL AID YAFIKIA WANANCHI ZAIDI YA MI...
*MAMA SAMIA LEGAL AID YAFIKIA WANANCHI ZAIDI YA MILIONI 1-MAJALIWA.* _Asema kampeni hiyo ni ubunifu...
*MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA MSAADA WA...
*MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA, MKOA WA LINDI.* Waziri M...