Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #usajili

Posts

*MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURS...

*MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURSA STAHIKI WATU WENYE ULEMAVU.* _▪️Asema hadi kuf...

*WAZIRI MKUU AZINDUA ALBINO MOBILE APP* Waziri Mk...

*WAZIRI MKUU AZINDUA ALBINO MOBILE APP* Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua programu janja ya ‘Al...

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kupu...

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza ada ya usajili wa pikipiki za biashara kutok...

*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJET...

*DKT. NCHEMBA: SH. TRILIONI 56.49 KUTEKELEZA BAJETI 2025/26.* Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu L...

*UNITED WAMTANGAZA RASMI CUNHA ⚽👇* Matheus Cunha...

*UNITED WAMTANGAZA RASMI CUNHA ⚽👇* Matheus Cunha ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa *Manchest...

Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege ya Air India yenye abiria 230+ yapata ajali. Ndege ya Air India aina ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye namba ya usajili (VT-ANB) iliyokuwa ikielekea London Gatwick imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Ahmedabad, nchini India. Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari namba AI171, ikiwa na abiria 230 na wahudumu 12. Kwa sasa zoezi la Uokoaji wa manusura wa ajali hiyo linaendelea likifuatiwa na zoezi uchunguzi. Chanzo: @samchui #planecrash #airline #airindia #boeing787dreamliner #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DKzCX1rN81f/?igsh=MXR0Mjh4a3phcjlkbA== *Ndege ya Air India yenye ab...

USAJILI KWANZA, MKEKA BAADAE. PAKUA APPLICATION YA...

USAJILI KWANZA, MKEKA BAADAE. PAKUA APPLICATION YA 1XBET BAADA YA KUJISAJILI Tumia link hii kujisa...

*CITY YATAMBULISHA BEKI KISIKI ⚽* Manchester City...

*CITY YATAMBULISHA BEKI KISIKI ⚽* Manchester City imemsajili beki wa kushoto *Rayan Aït-Nouri* kuto...

*CITY YATAMBULISHA KIUNGO MFARANSA⚽* Manchester C...

*CITY YATAMBULISHA KIUNGO MFARANSA⚽* Manchester City imemsajili rasmi kiungo mshambuliaji wa Kifara...

*TRENT ANUKIA BERNABEU ⚽* TETESI: Trent Alexander...

*TRENT ANUKIA BERNABEU ⚽* TETESI: Trent Alexander-Arnold akiwa mbele ya nembo ya *Real Madrid*, aki...

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema imebai...

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema imebaini uwepo wa vitendo vya Ukiukwaji wa Sheria ya Vya...

TBC DIGITAL on Instagram: "Serikali imesema kupitia Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) huwatambua makandarasi wanaofanya kazi nzuri kwa kuwapatia tuzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na tuzo za ukuaji haraka kwa wale wanaoonyesha ukuaji mzuri tangu usajili, tuzo kwa wakandarasi wanaozingatia usalama kazini na tuzo kwa ajili ya kampuni zinazomilikiwa na wanawake zenye mafanikio katika miradi. Hayo yamesemwa na bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato aliyetaka kujua Serikali imeweka utaratibu gani wa kuwatambua wakandarasi wazawa wanaofanya kazi nzuri ili kuwapa motisha. Aidha, Kasekenya amesema mkandarasi anapokamilisha kazi aliyopewa vizuri kulingana na mkataba mwajiri hutoa hati maalumu ya kukamilisha kazi (Final Completion Certificate) ambayo hutambua kuwa kakamilisha kazi yake vizuri. 📸✍🏾 @clementsilla #BungelaBajeti #Bungeni #TBCdigital #TBCupdates"

*Serikali imesema kupitia Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) huwatambua makandarasi wanaofanya kaz...