Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 19, 2025 at 07:08 PM
https://www.instagram.com/p/DGQ_ucpNAe5/?igsh=MWUzZ3QxYWExcjgwdg== *Mjasiriamali, Hashim Walters aazimia Kuifanya Spirit Airlines kuwa ya wamarekani weusi* Kutoka New Orleans, Louisiana,nchini Marekani,Hashim Walters, mjasiriamali mwenye umri wa miaka 29, ameanzisha rasmi kundi la biashara linaloitwa The Latimer Group,kwa lengo la kuinunua Spirit Airlines, chapa maarufu ambayo kwa sasa inayokabiliwa na changamoto kubwa za kifedha. Walters amesema kuwa, dhamira yake ni kuwawezesha viongozi wa kiuchumi wa Kiafrika nchini Marekani, kwa kuunda shirika pekee la ndege la kibiashara linalomilikiwa na wamarekani weusi nchini Marekani. . #airlines #spiritairlines #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania#aviata #aviat

Comments