
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 23, 2025 at 07:03 PM
https://www.instagram.com/p/DGbSSjit7q9/?igsh=MTNzNW5wb29xbm5mcw==
*Mwanafunzi anayesafiri kwa ndege hadi chuoni, kupunguza gharama za kodi ya nyumba.*
Katika jitihada za kupunguza gharama za maisha, TIm Chen mwanafunzi anayesomea sanaa katika chuo cha UBC nchini Canada amejiwekea utaratibu wa kusafiri kwa ndege kuelekea chuoni badala ya kupanga nyumba, utaribu huo ukiwa ni kwa lengo la kuepuka gharama kubwa za kodi ya nyumba katika mji wa Vancouver mahali ambapo kipo chuo anachosomea.
Mwanafunzi huyu hutumia kiasi cha $1,200 kwa mwezi kwa safari za ndege, akifanya safari kutoka mji wa Calvary hadi Vancouver mara mbili kwa wiki. Kila safari humgharimu takriban $150, na hivyo kufanya jumla ya safari 8 kwa mwezi, tofauti na gharama ya kupanga nyumba ambayo inafikia $2,100 kwa mwezi.
.
#airpplanes #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviat