Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
May 20, 2025 at 01:41 PM
https://www.instagram.com/reel/DJ4JxiosdFF/?igsh=MXBwaTFndDB4dXhxcQ== *Kiwanja cha Ndege cha Saint-Tropez La Mole chafurika Maji baada ya mvua Kubwa* Uwanja wa ndege wa Saint-Tropez La Mole (LTT) umejaa maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kuanzia asubuhi ya Leo Mei 20,2025 na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali ya Ghuba ya Saint-Tropez. Picha kutoka eneo la tukio zinaonesha uwanja huo ukiwa umezingirwa na maji, hali iliyosababisha usumbufu mkubwa kwa shughuli za kawaida za usafiri wa anga katika kiwanja hicho. Mamlaka za kiwanja hicho bado hazijatoa taarifa rasmi kuhusu athari ya hali hiyo kwa ratiba za ndege, lakini hali hiyo inaweza kuathiri uendeshaji wa safari za anga kwa muda mfupi hadi pale itakapotengemaa. #airport #sainttropezlamoleairport #airportauthority #floods #airportinfrastructure #aviationcareer #aviationtanzania#aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates

Comments