Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 13, 2025 at 01:55 PM
https://www.instagram.com/reel/DK19N-Ttxz7/?igsh=OGp0cHhzM2lvZGhz Mkuu wa uendeshaji wa shughuli za shirika la ndege la Flightlink, @jfk_1 ameeleza Lengo la ushiriki wa kampuni ya @flightlinktz katika mkutano wa kimaendeleo katika sekta ya Anga wa Aviadev na faida ambazo shirika hilo limezipata tangu liliposhiriki katika mkutano huo Kwa Mara ya kwanza mwaka 2024 nchini Namibia. #airlines #flightlink #aviadev #aviationcareer #aviadevafrica #aviationtanzania#aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates

Comments