Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 17, 2025 at 10:19 AM
https://www.instagram.com/reel/DK_33PYtyzw/?igsh=cGpwY3lrY2lmdGU3 Mmoja wa abiria waliosafiri Kwa Mara ya kwanza kutoka Nairobi hadi Arusha (WIL–ARK),Kwa kutumia ndege za shirika la @flightlinktz ameielezea safari hiyo kuwa ya haraka na yenye urahisi mkubwa. #airlines #flightlink #newroute #routeexpansion #airlinepassenger #aviationtanzania#aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates

Comments