Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #aviationmedicine
Posts
Aviation Tanzania on Instagram: "Katika safari za ndege, ulevi uliopitiliza kwa abiria unaweza kusababisha changamoto mbalimbali, ikiwemo usumbufu kwa wasafiri wengine na kuhatarisha usalama baadhi ya abiria waliopo ndani ya ndege. @dr.nasranassor, daktari wa wanaanga nchini, ameeleza kuhusu sheria za anga zinazohusu abiria wenye tabia zisizofaa safarini. Amebainisha kuwa abiria mlevi anayesababisha usumbufu na kero kwa wengine haruhusiwi kupanda ndege. Hata hivyo, abiria mwenye kiwango kidogo cha ulevi anaweza kuendelea na safari mradi hatosababisha usumbufu kwa wengine. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"
https://www.instagram.com/reel/DGnqo16NENc/?igsh=ZDVsbG15eWo1aDBn Katika safari za ndege, ulevi uli...
Aviation Tanzania on Instagram: "Katika mahojiano na @dr.nasranassor daktari wa wanaanga nchini, ameorodhesha watu wanaozuiliwa kutumia usafiri wa anga kutokana na changamoto za kiafya walizonazo zinazoweza kuhatarisha usalama wa abiria wengine akiwemo mgonjwa mwenye changamoto ya afya ya akili. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"
https://www.instagram.com/reel/DGeBWS8tKLd/?igsh=MWh0b2N6eGU4eGxydA== Katika mahojiano na @dr.nasr...
Aviation Tanzania on Instagram: "Daktari wa wanaanga nchini, @dr.nasranassor , ameeleza utaratibu rasmi kwa abiria mgonjwa anayepanga kusafiri kwa ndege. Alifafanua kuwa abiria hao wanapaswa kujaza fomu maalumu zinazopatikana katika mashirika mbalimbali ya ndege. Fomu hizo huwasaidia wahudumu wa ndege kutoa uangalizi wa karibu kwa mgonjwa katika kipindi chote cha safari yake. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"
https://www.instagram.com/reel/DGSkOvFNIj5/?igsh=MWR3aTZ2ejBhNHlvNw== Daktari wa wanaanga nchini, @...
Aviation Tanzania on Instagram: "Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz, @dr.nasranassor, ameeleza kuwa mtu yeyote aliyefanya upasuaji wa plastiki haruhusiwi kusafiri kwa ndege ndani ya siku saba, kwa sababu za usalama wa kiafya. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu, Aviation Tanzania, kwa kubonyeza kiungo kilichopo kwenye bio. #aviationmedicine #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"
https://www.instagram.com/reel/DGQvTcMNmCU/?igsh=MW5mN3V2ODVyc3BlNQ== Daktari wa Wanaanga Tanzania ...
Aviation Tanzania on Instagram: "Je, ni hatari kiasi gani kwa mjamzito kujifungua ndani ya ndege? Kufuatia mfululizo wa matukio ya abiria wajawazito kujifungua ndani ya ndege katika mashirika mbalimbali ya ndege duniani, @dr.nasranassor Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz anaeleza hatari zinazoweza kutokea kwa mama na mtoto wanapojifungua angani. Kwa mujibu wa miongozo ya usafiri wa anga, mama mwenye ujauzito wa chini ya wiki 34 ndiye anayestahili kuruhusiwa kusafiri kwa ndege. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu – Aviation Tanzania, kwa kubonyeza link kwenye bio. #aviationmedicine #birthonboard #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #AviationTanzania✈"
https://www.instagram.com/reel/DGDcgkrNdkV/?igsh=MWtoN3VpZzQ1M2tkcA== *Je, ni hatari kiasi gani kw...
Mapema mwezi uliopita, tulikuletea mahojiano maalu...
Mapema mwezi uliopita, tulikuletea mahojiano maalum na mmoja wa wanufaika wa Mfuko wa Mafunzo ya Uru...