
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 12, 2025 at 12:22 PM
Mapema mwezi uliopita, tulikuletea mahojiano maalum na mmoja wa wanufaika wa Mfuko wa Mafunzo ya Urubani na Uhandisi wa Ndege chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania @officialtcaa .Katika mahojiano hayo, @av8r1562 alitushirikisha safari yake ya kufanya usaili hadi kukamilisha masomo yake ya urubani, na sasa ni rubani anayerusha ndege za kibiashara (Commercial Pilot).
Safari yetu imeendelea hadi Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ili kufahamu kwa undani zaidi kuhusu mfuko huu, ambao hadi sasa umewezesha zaidi ya vijana 23 kunufaika na ufadhili wa mfuko huu.
Fuatilia mahojiano kamili kupitia chaneli yetu ya YouTube @aviationtanzania. Bonyeza link kwenye bio yetu.
.
#aviationmedicine #womeninaviation #aviationcareer #aviation #aviationsafety #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈